-
Wasyria waandamana kushinikizi kuondoka vikosi vamizi vya Uturuki
Oct 26, 2021 04:33Mamia ya wananchi wa Syria wamefanya maandamano katika mkoa wa Aleppo (Halab), kaskazini magharibi mwa nchi kulaani uwepo wa wanajeshi vamizi wa Uturuki katika ardhi ya nchi hiyo.
-
Dalali wa silaha za magaidi nchini Syria afilisika, Canada yampa kinga ya ukimbizi
Oct 24, 2021 23:02Mmoja wa madalali aliyekuwa akiyauzia silaha magenge ya kigaidi nchini Syria likiwemo la Daesh (ISIS) amefilisika vibaya kiasi kwamba Canada imempa kinga ya ukimbizi nchini humo.
-
EU yajibu mapigo ya Erdogan, yasema serikali ya Uturuki ni ya kidikteta
Oct 24, 2021 04:21Umoja wa Ulaya (EU) umejibu hatua iliyochukuliwa na Rais Recep Tayyip Erdogan wa Uturuki aliyeiamuru Wizara ya Mambo ya Nje ya nchi hiyo kuwatangaza mabalozi wa nchi 10 za Magharibi kuwa ni watu wasiotakikana nchini humo kama utanguliwa wa kufukuzwa nchini Uturuki.
-
Ugiriki, Misri na Cyprus zaionya Uturuki iache vitendo vyake vya kichokozi
Oct 20, 2021 03:50Wakuu wa nchi za Cyprus, Misri na Ugiriki jana Jumanne walikutana mjini Athens na kutoa onyo kali kwa Uturuki iache vitendo vyake vya kichokozi katika eneo la mashariki mwa Bahari ya Mediterranean.
-
Uturuki: Tuna haki kama zilivyo Russia na Marekani ya kuwepo kijeshi nchini Syria
Oct 02, 2021 08:52Msemaji wa rais wa Uturuki amedai kuwa, nchi hiyo, kama zilivyo Russia na Marekani, ina haki ya kuwepo kijeshi katika ardhi ya Syria.
-
Marekani yatoa onyo kwa Uturuki dhidi ya kununua tena silaha kutoka Russia
Sep 27, 2021 22:55Marekani imesema kuna uwezekano wa kuiwekea Uturuki vikwazo vipya kwa sababu ya ununuzi wa mtambo wa ulinzi wa anga wa S-400 kutoka Russia.
-
Syria yalaani chokochoko na uvamizi wa Uturuki
Sep 20, 2021 22:07Wizara ya Mambo ya Nje ya Syria imelaani hatua za Uturuki za kukiuka mamlaka ya kujitawala na umoja wa ardhi nzima ya nchi hiyo na kusisitiza kuwa Syria ina haki ya kujibu chokochoko hizo.
-
Iran yasikitishwa na moto mkubwa wa misituni ulioikumba Uturuki
Jul 30, 2021 22:10Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran ameeleza masikitiko yake kufuatia moto mkubwa unaoendelea kuteketeza misitu nchini Uturuki.
-
Rouhani: Iran na Uturuki ni madola mawili makubwa ya Ulimwengu wa Kiislamu
Jul 22, 2021 03:27Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amefanya mazungumzo ya simu na Rais Recep Tayyip Erdogan wa Uturuki na mbali na kumpa mkono wa Idi, yeye, serikali na wananchi wa Uturuki amesema kuwa, nchi hizi mbili ni madola makubwa katika eneo hili na kwenye Ulimwengu wa Kiislamu na zina nafasi muhimu katika utatuzi wa matatizo ya eneo hili zima.
-
Licha ya kauli kali zitolewazo dhidi ya Wazayuni, marais wa Uturuki na Israel wataka kustawishwa uhusiano
Jul 15, 2021 03:42Chama tawala nchini Uturuki cha Uadilifu na Maendeleo AKP kimesema, Uturuki na utawala haramu wa Kizayuni wa Israel zimekubaliana kuchukua hatua ili kustawisha uhusiano wao wenye mivutano kufuatia mazungumzo yaliyofanywa kwa njia ya simu kati ya marais wa pande hizo mbili.