-
Erdogan: Bidhaa za Ufaransa zisusiwe... viongozi wa sasa wa Ulaya ni Manazi na Mafashisti
Oct 27, 2020 07:24Wakati mtifuano wa kisiasa baina ya Ufaransa na Uturuki ukiwa unaendelea baada ya Rais Emmanuel Macron wa Ufaransa kutoa matamshi ya kuyavunjia heshima matukufu ya Kiislamu na Waislamu, Rais Recep Tayyip Erdoğan wa Uturuki ametoa mwito wa kususiwa bidhaa za Ufaransa.
-
Mvutano mpya baina ya Ufaransa na Uturuki baada ya Paris kuendeleza hujuma dhidi ya Uislamu
Oct 26, 2020 08:34Uhusiano wa nchi mbili za Ufaransa na Uturuki umekumbwa na miivutano mingi katika miezi ya karibu kutokana na kuhitilafiana katika masuala kadhaa zikiwemo harakati za Uturuki huko Mashariki mwa Bahari ya Mediterania.
-
Erdogan: Rais wa Ufaransa apimwe uwezo wake wa kiakili baada ya matamshi yake dhidi ya Waislamu
Oct 25, 2020 12:51Rais Recep Tayyip Erdoğan wa Uturuki amesema kuwa Rais wa Ufaransa, Emanue Macron, anahitaji kupimwa uwezo wake wa kiakili baada ya matamshi ya kibaguzi aliyotoa karibuni kuhusu dini ya Uislamu.
-
Jengo la kale la miaka elfu moja iliyopita la mjini Istanbul, Uturuki lageuzwa msikiti
Oct 17, 2020 04:30Jengo la kale la tangu miaka elfu moja lililoko kwenye upande wa Ulaya wa mji wa Istanbul nchini Uturuki limegeuzwa tena kuwa msikiti.
-
Taathira hasi za kuendelea vita eneo la kusini mwa Kavkazia
Oct 09, 2020 02:36Kwa kuendelea mapigano baina ya Jamhuri ya Azeribaijan na Armenia, hivi sasa pande hasimu katika vita zimepanua wigo kutoka ardhi zinazokaliwa kwa mabavu na kuingia katika maeneo yenye umuhimu wa kiuchumi.
-
Uturuki: Ankara itaendelea kuisaidia serikali ya GNA Libya hata baada ya Sarraj kung'atuka
Sep 22, 2020 02:41Uturuki imetangaza kuwa itaendelea kuiunga mkono serikali inayotambuliwa kimataifa ya Libya licha ya Waziri Mkuu Fayez al-Sarraj kutangaza wiki iliyopita kwamba, anapanga kuondoka madarakani mwishoni mwa mwezi ujao.
-
Bin Zayed aishauri Pentagon ikihamishie Imarati kituo cha kijeshi cha Incirlik kilichoko Uturuki
Sep 21, 2020 03:16Baadhi ya duru zimeripoti kuwa mrithi wa ufalme wa Abu Dhabi Mohammad bin Zayed amefanya mashauriano na Wizara ya Ulinzi ya Marekani Pentagon juu ya mpango wa kukihamishia Imarati kituo cha anga cha jeshi la Marekani cha Incirlik kilichoko nchini Uturuki.
-
Erdogan amkumbusha Macron jinai za Ufaransa barani Afrika, asema hajui hata historia ya nchi yake
Sep 13, 2020 13:37Rais Recep Tayyip Erdoğan wa Uturuki amemtahadharisha mwenzake wa Ufaransa, Emmanuel Macron kuhusu matatizo atakayokumbana nayo mkabala wake yeye na kumkumbusha jinai na uhalifu uliofanywa na Paris barani Afrika.
-
Marais wa Iran na Uturuki wasisitiza udharura wa kuimarisha ushirikiano wa pande mbili, kimataifa
Sep 09, 2020 02:34Marais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Uturuki wametoa taarifa mwishoni mwa kikao cha sita cha Baraza Kuu la Uhusiano wa Kistratijia wa nchi hizo mbili wakisisitiza udharura wa kupanuliwa na kuimarishwa ushirikiano wa pande mbili, kikanda na kimataifa katika fremu ya kudhamini maslahi ya pamoja ya Tehran na Ankara.
-
Lavrov: Russia ina wasiwasi na hatua za Marekani za kuibua mivutano Mediterania
Sep 08, 2020 12:43Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia ameeleza wasiwasi wake kuhusu hatua za Marekani za kuzusha hali ya mivutano katika eneo la mashariki mwa Mediterania.