-
Lavrov: Russia ina wasiwasi na hatua za Marekani za kuibua mivutano Mediterania
Sep 08, 2020 08:13Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia ameeleza wasiwasi wake kuhusu hatua za Marekani za kuzusha hali ya mivutano katika eneo la mashariki mwa Mediterania.
-
Tahadhari ya Josep Borrell kwa Uturuki na kushadidi mivutano baina ya EU na Ankara
Sep 07, 2020 22:04Kushadidi hitilafu baina ya Ugiriki na Uturuki juu ya suala la kutafuta mafuta na gesi katika Bahari ya Aegean ambako kumeziweka nchi hizo mbili katika ncha ya kutumbukia kwenye vita, kumefuatiwa na ukosoaji wa Umoja wa Ulaya ambao umetoa tahadahri kali kwa serikali ya Uturuki.
-
Utovu wa ubinadamu wa Uturuki wa kuwafungia maji Wasyria wa Al Hasakah katika msimu wa joto kali
Aug 24, 2020 06:54Uturuki na magaidi inaowaunga mkono wanaendeleza malengo yao ya kujipanua kijiopolitiki ndani ya ardhi ya Syria kwa kutumia mbinu isiyo na chembe ya ubinadamu ya kuwafungia maji raia wa nchi hiyo katika mkoa wa Al Hasakah.
-
Kushadidi tofauti baina ya Uturuki na UAE na hatari ya kuharibika zaidi uhusiano wa nchi mbili
Aug 23, 2020 03:33Uhusiano wa Uturuki na Umoja wa Falme za Kiarabu unaelekea kuharibika zaidi baada ya Mkuu wa Mashtaka wa serikali ya Ankara kuiomba Polisi ya Kimataifa ya Makosa ya Jinai INTERPOL imtie nguvuni Mohammed Dahlan, mshauri wa Mohammed bin Zayed, mrithi wa ufalme wa Imarati.
-
Uturuki, Qatar na Libya kushirikiana kijeshi
Aug 18, 2020 10:13Serikali ya Mwafaka wa Kitaifa ya Libya imesema imefikiana na Uturuki na Qatar juu ya kutia saini mkataba wa pande tatu wa ushirikiano wa kijeshi na kwamba miongoni mwa nukta muhimu za ushirikiano huo ni kujenga kituo cha kijeshi cha Uturuki katika Bandari ya Misrata nchini Libya.
-
Matukio ya Uturuki na mashariki mwa Mediterania
Aug 17, 2020 08:58Mawaziri wa Mambo ya Nchi za Nje wa Uturuki na Marekani wamekutana katika Jamhuri ya Dominican na kujadiliana kuhusu matukio ya eneo la mashariki mwa Bahari ya Mediterania na nchi ya Libya.
-
Kuongezeka mvutano kati ya Uturuki na Ufaransa mashariki mwa Bahari ya Mediterania
Aug 14, 2020 23:37Umoja wa Ulaya umetoa radiamali hasi kuhusu hatua ya Uturuki ya kutekeleza miradi ya kugundua mafuta na gesi katika maji ya mashariki mwa Bahari ya Mediterania.
-
Erdogan: Safari ya Macron nchini Lebanon ilikuwa na malengo ya kikoloni
Aug 14, 2020 06:32Rais Recep Tayyip Erdoğan wa Uturuki amesema kuwa Rais wa Ufaransa, Emmanuel Macron, ana malengo ya kikoloni nchini Lebanon na kwamba safari yake ya siku chache zilizopita mjini Beirut ilifanyika kwa shabaha ya kutunisha misuli.
-
Kushadidi malumbano ya kisiasa ya Umoja wa Ulaya na Uturuki
Jul 28, 2020 21:59Kufuatia kushadidi taharuki baina ya Uturuki na Jordan, Kansela Angela Merkel wa Ujerumani, ambaye nchi yake inashikilia uwenyekiti wa kimzunguko wa Umoja wa Ulaya, amefanya mazungumzo na Rais Reccep Tayyib Erdogan wa Uturuki na kumtahadharisha kuwa, matatizo aliyonyao na Ugiriki hayataishia tu katika nchi hiyo bali atakumbana na matatizo na bara zima la Ulaya.
-
Kufanyika swala ya kwanza ya Ijumaa katika msikiti wa Hagia Sophia
Jul 26, 2020 02:02Sala ya kwanza ya Ijumaa ilisaliwa Ijumaa katika msitiki wa Hagia Sophia nchini Uturuki tarehe 24 mwezi huu wa Saba baada ya miaka 86 kwa kuhudhuriwa na rais, viongozi wa serikali na pia wananchi wa nchi hiyo.