-
Kushadidi malumbano ya kisiasa ya Umoja wa Ulaya na Uturuki
Jul 28, 2020 21:59Kufuatia kushadidi taharuki baina ya Uturuki na Jordan, Kansela Angela Merkel wa Ujerumani, ambaye nchi yake inashikilia uwenyekiti wa kimzunguko wa Umoja wa Ulaya, amefanya mazungumzo na Rais Reccep Tayyib Erdogan wa Uturuki na kumtahadharisha kuwa, matatizo aliyonyao na Ugiriki hayataishia tu katika nchi hiyo bali atakumbana na matatizo na bara zima la Ulaya.
-
Kufanyika swala ya kwanza ya Ijumaa katika msikiti wa Hagia Sophia
Jul 26, 2020 02:02Sala ya kwanza ya Ijumaa ilisaliwa Ijumaa katika msitiki wa Hagia Sophia nchini Uturuki tarehe 24 mwezi huu wa Saba baada ya miaka 86 kwa kuhudhuriwa na rais, viongozi wa serikali na pia wananchi wa nchi hiyo.
-
Swala ya kwanza ya Ijumaa yaswaliwa Hagia Sophia Uturuki baada ya zaidi ya miaka 85 +VIDIO
Jul 24, 2020 08:14Swala ya kwanza ya Ijumaa imefanyika leo katika jengo la Hagia Sophia mjini Istanbul baada ya jumba hilo la makumbusho kubadilishwa na kuwa msikiti.
-
Maafikiano ya Uturuki na Russia kuhusu Libya na nafasi ya wahusika wakuu wa kikanda na kimataifa
Jul 24, 2020 02:40Wizara za Mambo ya Nchi za Nje za Russia na Uturuki zimetangaza kuwa, wanadiplomasia wa ngazi za juu wa nchi hizo mbili waliokutana Ankara wametoa taarifa ya pamoja kuhusu mgogoro wa Libya wakitangaza kuwa wamefikia mwafaka juu ya suala la kuunda kamati ya pamoja itakayoendeleza ushirikiano wa Moscow na Ankara katika mgogoro wa Libya.
-
Uturuki na Misri katika ncha ya kutumbukia kwenye vita nchini Libya
Jul 19, 2020 02:09Kushadidi hitilafu za Uturuki na Misri kuhusiana na kadhia ya Libya kumezifanya nchi hizo zipigane makumbo katika Umoja wa Mataifa na taasisi nyingine za kimataifa.
-
Kubadilishwa rasmi matumizi ya jumba la makumbusho la Hagia Sophia na kuwa msikiti
Jul 12, 2020 03:29Rais Recep Tayyip Erdoğan wa Uturuki ametoa amri ya kubadilisha matumizi ya jumba la makumbusho la Hagia Sophia na kulifanya msikiti.
-
Uturuki yavamia tena ardhi ya Syria, mara hii msafara wa malori 70 ya kijeshi waingia mkoani Idlib
Jul 09, 2020 21:54Misafara mitatu ya jeshi la Uturuki ya malori yaliyosheheni zana za kijeshi imevuka mpaka wa mkoa wa Idlib kaskazini magharibi mwa Syria na kuingia ndani ya ardhi ya nchi hiyo.
-
Wasiwasi wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa kuhusu kuongezeka uingiliaji wa kigeni nchini Libya
Jul 09, 2020 21:54Vita vya wenyewe kwa wenyewe huko Libya vimechukua sura mpya na tata na hasa kufuatia uamuzi wa wapiganaji wanaojiita Jeshi la Kitaifa la Libya linaloongozwa na jenerali muasi Khalifa Haftar wa kuanzisha hujuma ya kuuteka mji mkuu wa nchi hiyo Tripoli, mnamo mwezi Aprili 2019 na uingiliaji wa nchi za kigeni kwa ajili ya kuziunga mkono pande hasimu katika mgogoro huo.
-
Sisitizo la Uturuki la kutokuwa Saudia na ustahiki wa kushughulikia faili la mauaji ya Khashoggi
Jul 07, 2020 03:22Wakati Uturuki inaendelea kufuatilia faili la kesi ya watu waliomuua Jamal Khashoggi, mwandishi wa habari aliyekuwa akiukosoa vikali utawala wa Aal Saud, maafisa wa Ankara wangali wanasisitiza kuwa, serikali ya Saudi Arabia haina ustahiki wa kushughulikia na kuendesha kesi ya Msaudia huyo aliyeuliwa ndani ya ubalozi mdogo wa nchi hiyo mjini Istanbul, Uturuki akiwa na umri wa miaka 59.
-
Uturuki: Saudia haina ustahiki wa kuendesha kesi ya wauaji wa Khashoggi
Jul 06, 2020 06:48Mshauri wa Rais wa Uturuki amesisitiza kuwa, Saudi Arabia haina ustahiki wa kuendesha kesi za wauaji wa Jamal Khashoggi, mwandishi wa habari raia wa Saudia aliyeuliwa kinyama ndani ya ubalozi mdogo wa nchi hiyo mjini Istanbul, Uturuki.