-
Hatua ya Uturuki ya kutuma jeshi kaskazini mwa Syria
Jul 03, 2020 02:37Uturuki imetangaza kuwa imetuma kundi jingine la kikosi maalumu cha jeshi la nchi hiyo katika eneo la Ras al Ain huko kaskazini mwa Syria.
-
Uturuki: Ufaransa imefumbia macho jinai zinazofanywa na UAE, Misri nchini Libya
Jul 01, 2020 21:45Balozi wa Uturuki mjini Paris ameituhumu Ufaransa kuwa inaegemea upande mmoja na kwamba imefumbia macho jinai zinazofanywa na Umoja wa Falme za Kiarabu na Misri nchini Libya.
-
Kituo cha kijeshi cha Uturuki nchini Somalia chashambuliwa, 2 wauawa
Jun 23, 2020 23:21Kwa akali raia wawili wamepoteza maisha katika shambulizi la kigaidi lililolenga kambi ya kijeshi ya Uturuki katika mji mkuu wa Somalia, Mogadishu.
-
Msimamo wa Macron dhidi ya uingiliaji wa Uturuki Libya
Jun 23, 2020 03:04Rais Emmanuel Macron wa Ufaransa amesema kuwa uingiliaji kijeshi wa Ufaransa nchini Libya ni mchezo hatari.
-
Sharti la Uturuki kukubali usitishaji vita nchini Libya
Jun 22, 2020 04:52Ibrahim Kalin, Msemaji wa Ikulu ya Rais wa Uturuki amesema kuwa usitishaji vita utatekelezwa nchini Libya kwa sharti kuwa wapiganaji wanaojiita Jeshi la Taifa la Libya wanaoongozwa na jenerali muasi Khalifa Hafta waondoke katika mji wa Sirte.
-
Uturuki: UAE inataka kuchochea uasi dhidi ya serikali za Afrika
Jun 19, 2020 23:30Waziri wa Mambo ya Nje wa Uturuki ameutuhumu Umoja wa Falme za Kiarabu kuwa unapania kuchochea harakati za uasi dhidi ya serikali katika nchi za Afrika.
-
Waziri Zarif aelekea Russia baada ya kuitembelea Uturuki
Jun 16, 2020 03:33Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran ameelekea Moscow, mji mkuu wa Russia katika ziara rasmi ya kikazi baada ya kuitembelea Uturuki na kukutana na viongozi wa ngazi za juu wa nchi hiyo.
-
Erdogan: Uchumi wa Kiislamu unaweza kuiondoa dunia katika mgogoro
Jun 15, 2020 10:29Rais Recep Tayyip Erdogan wa Uturuki amesema uchumi wa Kiislamu ndiyo dawa mjarabu ya kuiondoa dunia katika mgogoro wa kiuchumi uliosababishwa na janga la corona.
-
Zarif asema uhusiano wa Iran na Uturuki katika nyuga tofauti ni wa karibu sana
Jun 15, 2020 03:10Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema kuwa, Jamhuri ya Kiislamu na Uturuki zina uhusiano mzuri wa na karibu sana katika nyuga mbali mbali.
-
Juhudi za Uturuki za kuweko kijeshi katika nchi ya Libya
Jun 14, 2020 08:08Baada ya Uturuki kuwa na uingiliaji wa kijeshi katika masuala ya ndani ya Libya na kushiriki pakubwa katika vita vya niaba, sasa viongozi wa Ankara wanazungumzi suala la kuanzisha vituo viwili vya kijeshi katika nchi hiyo ya kaskazini mwa Afrika.