-
Spika mpya wa Bunge la Iran ahimiza umoja wa Waislamu dhidi ya Israel
May 30, 2020 04:18Spika mpya wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu yaani Bunge la Iran amesisitizia umuhimu wa umoja wa Waislamu na jitihada za pamoja za kukabiliana na njama za utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Wanamgambo wa Haftar: Uturuki ni hatari kubwa kwa Libya
May 29, 2020 06:18Msemaji wa wanamgambo wanaojiita "Jeshi la Taifa la Libya" chini ya jenerali muasi Khalifa Haftar amesema kuwa, uingiliaji wa kijeshi wa Uturuki ni hatari sana kwa Libya.
-
Madai ya Uturuki kuhusu faida za uwepo wa majeshi yake nchini Libya
May 26, 2020 02:24Waziri wa Mambo ya Nje wa Uturuki Mevlüt Çavuşoğlu amesema: “Uwepo wa wanajeshi wa Uturuki nchini Libya ni jambo litakalopelekea pande mbile hasimu nchini humo kuchukua hatua za kimsingi kuekelea katika usitishwaji vita.”
-
Uturuki yawatumia magaidi wa Syria msafara mwingine wa kilojistiki
May 23, 2020 09:16Duru za habari za Syria zimeripoti kuwa, Uturuki imewatumia magaidi wa Syria msafara mwingine wa vifaa vya kijeshi katika maeneo unayoyakalia kwa mabavu ya kaskazini mwa Syria.
-
Uturuki: Imarati, Misri na baadhi ya nchi, zimelitumbukiza eneo la Asia Magharibi katika ghasia na machafuko
May 13, 2020 15:12Waziri wa Mambo ya Nje wa Uturuki amesema kuwa maamuzi na hatua mbovu za Imarati, Misri na baadhi ya nchi za Kiarabu na Magharibi, vimelitumbukiza eneo la Asia Magharibi katika ghasia na machafuko.
-
Onyo la Uturuki dhidi ya vikosi vyenye mfungamano na Saudi Arabia nchini Libya
May 12, 2020 10:07Uwepo wa kijeshi wa Uturuki nchini Libya na vita vya niaba vya Ankara dhidi ya baadhi ya madola ya Kiarabu yenye fikra mgando kama Saudi Arabia, kumeshadidisha matatizo ya serikali ya Recep Tayyip Erdogan barani Afrika.
-
Uturuki: Taarifa ya nchi tano dhidi yetu imetumia vipimo vya kiundumakuwili
May 12, 2020 07:40Wizara ya Mambo ya Nje ya Uturuki imesema, taarifa ya pamoja iliyotolewa na Misri, Ugiriki, Imarati, Ufaransa na Cyprus kuhusu Bahari ya Mediterania inaonyesha vipimo vya kiundumakuwili vinavyotumiwa na nchi hizo.
-
Vita vya maneno vyashtadi kati ya Imarati na Uturuki
May 02, 2020 01:36Wizara ya Mambo ya Nje ya Uturuki imeitaka Imarati kukomesha misimamo yake ya uhasama dhidi ya nchi hiyo.
-
Rais Erdoğan asisitiza kuwa Uturuki ni rafiki wa kuaminika wa Marekani
Apr 30, 2020 02:38Rais Recep Tayyip Erdoğan wa Uturuki amemuandikia barua Rais Donald Trump wa Marekani akikariri kuwa Ankara ni mshirika wa kuaminika wa Washington, huku akisisitiza juu ya mshikamano wa pande mbili.
-
Malalamiko ya Baghdad juu ya kuendelea operesheni za kijeshi za Uturuki kaskazini mwa Iraq
Apr 20, 2020 02:30Operesheni za askari wa Uturuki huko kaskazini mwa Iraq kwa mara nyingine zimekabiliwa na malalamiko ya serikali ya Baghdad.