-
Wanamgambo 1,500 wa Kisyria wawasili Libya kushirikiana na Haftar
Apr 13, 2020 10:05Vikosi vya jeshi la Khalifa Haftar vimetangaza kuwa wanamgambo 1,500 wa Kisyria wamewasili Tripoli wakisaidiwa na Uturuki.
-
Vikosi vya Haftar vyadai vimetungua drone 2 za Uturuki huko Libya
Apr 09, 2020 08:21Kundi la wanamgambo wanaojiita Jeshi la Tifa la Libya wanaoongozwa na jenerali Khalifa Haftar linadai kuwa limetungua ndege mbili zisizo na rubani za Uturuki zilizokuwa zikiruka katika anga ya nchi hiyo ya kaskazini mwa Afrika.
-
Mzozo mpya katika uhusiano wa Uturuki na Ugiriki
Apr 06, 2020 02:31Harakati mpya za viongozi wa Ankara na Athens, kwa mara nyingine zimechochea mizozo kati ya Uturuki na Ugiriki.
-
Uingiliaji wa moja kwa moja wa Uturuki katika masuala ya ndani ya Libya
Apr 03, 2020 10:50Licha ya matamshi ya hivi karibuni ya Rais Recep Tayyip Erdogan ya kutangaza kukomeshwa vita vyote vya nchi hiyo katika eneo hili na duniani kiujumla kutokana na wimbi la kuenea kirusi cha corona, lakini kuna taarifa mpya zinazosema kuwa jeshi la Uturuki linaingilia moja kwa moja masuala ya ndani ya Libya.
-
Machaguo mawili ya Moscow kwa makundi ya kigaidi, Idlib nchini Syria
Mar 19, 2020 02:43Russia imeyapa machaguo mawili makundi ya kigaidi yananayofadhiliwa na nchi za Magharibi katika eneo la Idlib huko kaskazini mwa Syria. Mwezi Januari mwaka huu jeshi la Syria na washirika wake walianzisha operesheni ya kuusafisha mkoa huo wa Idlib, ambao ndio ngome ya mwisho ya magaidi ndani ya nchi hiyo ya Kiarabu.
-
Kushtadi mizozo kati ya Uturuki na Ugiriki
Mar 16, 2020 02:34Wizara ya Mambo ya Nje ya Uturuki imemwita balozi wa Ugiriki mjini Ankara na kumkabidhi malalamiko yake kufuatia ukiukaji wa haki ya kujitawala kwenye maji ya eneo hili na kadhalika kitendo cha serikali ya Athens cha kuweka vikosi vyake katika mipaka ya nchi mbili.
-
Uturuki yasisitiza tena itaendelea kuwepo kijeshi Syria na wala haifikirii kuwaondoa askari wake Idlib
Mar 12, 2020 15:26Waziri wa Ulinzi wa Uturuki amesisitiza kwa mara nyingine kuwa nchi hiyo itaendelea kuwepo kijeshi katika eneo la Idlib nchini Syria.
-
Uturuki yakiri kuongezeka hasara za kijeshi nchini Syria
Mar 09, 2020 02:59Rais Recep Tayyip Erdoğan wa Uturuki amekiri juu ya hasara za kiroho na mali za jeshi la nchi yake huko katika mkoa wa Idlib, kaskazini magharibi mwa Syria kufuatia mapigano makali kati ya askari wa nchi mbili.
-
Bashar Asad: Syria itaanza opesheni dhidi ya wavamizi wa Kimarekani karibuni
Mar 06, 2020 08:23Rais Bashar Assad wa Syria amesema kuwa Uturuki inatekeleza maagizo ya Marekani na inafanya juu chini kuhakikisha kwamba Damascus haikomboi mkoa wa Idlib kutoka kwenye makucha ya makundi ya kigaidi.
-
Guterres apongeza makubaliano ya Russia-Uturuki kuhusiana na mgogoro wa Syria
Mar 06, 2020 08:09Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa amepongeza makubaliano yaliyofikiwa baina ya Russia na Uturuki kuhusiana na usiitishaji vita katika mkoa wa Idlib nchini Syria.