Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Uturuki

  • Rais wa Uturuki atoa wito kwa BRICS kuongeza herufi T katika jina la kundi hilo

    Rais wa Uturuki atoa wito kwa BRICS kuongeza herufi T katika jina la kundi hilo

    Jul 30, 2018 09:52

    Uturuki imetangaza hamu yake ya kujiunga na kundi la BRICS linaloundwa na nchi zinazoinukia kiuchumi na ameiomba BRICS kuiruhusu nchi yake kujiunga na kundi hilo.

  • Uturuki na Marekani zaendelea kutishiana

    Uturuki na Marekani zaendelea kutishiana

    Jul 29, 2018 09:29

    Serikali ya Uturuki imeitisha Marekani kwamba, iwapo Rais Donald Trump wa nchi hiyo hatoikabidhi Ankara ndege mpya za F 35, basi itaiburuza Washington katika mahakama za kimataifa.

  • Wanafunzi wa Kiafrika wanaotuhumiwa kwa ugaidi wakamatwa Uturuki

    Wanafunzi wa Kiafrika wanaotuhumiwa kwa ugaidi wakamatwa Uturuki

    Jul 01, 2018 22:07

    Makumi ya wanafunzi wa Kiafrika hususan raia wa Somalia wamekamatwa nchini Uturuki, wakihusishwa na Shirika la Kigaidi la Fathullah FETO, linalodaiwa kuratibu na kutekeleza jaribio la mapinduzi lililofeli la mwaka 2016.

  • Korea Kaskazini kuikabidhi Uturuki mabaki ya miili ya askari 500 wa nchi hiyo

    Korea Kaskazini kuikabidhi Uturuki mabaki ya miili ya askari 500 wa nchi hiyo

    Jun 25, 2018 23:53

    Serikali ya Korea Kaskazini imetangaza kwamba itaikabidhi Uturuki mabaki ya miili ya askari wa nchi hiyo waliouawa katika vita vya eneo la Korea.

  • Uturuki nayo yaingia katika vita vya Kiuchumi dhidi ya Marekani

    Uturuki nayo yaingia katika vita vya Kiuchumi dhidi ya Marekani

    Jun 21, 2018 09:15

    Katika radiamali yake kufuatia hatua ya Marekani ya kuzipandishia ushuru bidhaa zinazozalishwa Uturuki, serikali ya Ankara imechukua hatua sawa na ya China na Umoja wa Ulaya ya kuingia katika vita vya biashara dhidi ya Washington.

  • Assad: Vikosi vya Israel na Uturuki vilivyoko Syria ni vamizi

    Assad: Vikosi vya Israel na Uturuki vilivyoko Syria ni vamizi

    Jun 14, 2018 03:26

    Rais Bashar al-Assad wa Syria amesema vikosi vya utawala wa Kizayuni wa Israel, Uturuki, Marekani na Ufaransa vilivyoko nchi humo ni vikosi vamizi.

  • Iran: Nchi za Kiislamu zinapaswa kuungana kulihami taifa linalodhulumiwa la Palestina

    Iran: Nchi za Kiislamu zinapaswa kuungana kulihami taifa linalodhulumiwa la Palestina

    Jun 10, 2018 03:23

    Balozi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran nchini Uturuki amesema, nchi za Waislamu na mataifa huru duniani yanapaswa kuwa kitu kimoja katika kulihami na kuliunga mkono taifa linalodhulumiwa la Palestina.

  • Uturuki yakosolewa kwa kuwa na sera za undumakuwili kuhusiana na eneo la Mashariki ya Kati

    Uturuki yakosolewa kwa kuwa na sera za undumakuwili kuhusiana na eneo la Mashariki ya Kati

    May 31, 2018 03:00

    Mchambuzi wa masuala ya Mashariki ya Kati na mhadhiri wa Taaluma ya Uhusiano wa Kimataifa katika Chuo Kikuu cha Atilim nchini Uturuki amesema sera za undumakuwili za serikali ya Ankara kuhusiana na matukio ya eneo hili hazina mantiki wala hazitokani na misingi inayokubalika.

  • Viongozi wa dini tofauti waitaka serikali ya Myanmar kuhitimisha ubaguzi dhidi ya Waislamu

    Viongozi wa dini tofauti waitaka serikali ya Myanmar kuhitimisha ubaguzi dhidi ya Waislamu

    May 30, 2018 10:20

    Viongozi wa dini tofauti nchini Myanmar wameitaka serikali ya nchi hiyo kutafuta njia ya utatuzi wa mgogoro wa ubaguzi unaoendelea kushuhudiwa nchini humo hususan dhidi ya jamii ya Waislamu.

  • Sisitizo la Erdoğan la kuwekewa vikwazo vya kiuchumi Israel

    Sisitizo la Erdoğan la kuwekewa vikwazo vya kiuchumi Israel

    May 26, 2018 03:09

    Rais Recep Tayyip Erdoğan wa Uturuki amesema kuwa, kwa mujibu wa maamuzi yaliyochukuliwa katika kikao cha dharura cha nchi wanachama wa Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu OIC mjini Istanbul, kulitakiwa kuanza kutekelezwa vikwazo vya kiuchumi dhidi ya utawala katili wa Kizayuni.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS