-
Salih Muslim: Siara za Erdoğan ni hatari sana kwa eneo la Mashariki ya kati
Feb 19, 2016 10:18Mkuu wa chama cha Umoja wa Kidemokrasia wa Wakurdi wa Syria (PYD), Salih Muslim Muhammad amesema kuwa, siasa zinazofuatwa na Rais Recep Tayyip Erdoğan wa Uturuki, ni hatari sana kwa eneo zima la Mashariki ya Kati.
-
Erdogan: Tutawasaka na kuwaadhibu waliotushambulia
Feb 18, 2016 04:33Rais wa Uturuki ameahidi kutoa jibu kali kwa watekelezaji wa mashambulizi ya kigaidi katika mji mkuu, Ankara ambapo watu 28 waliuawa hapo jana.
-
Assad: Azma ya Saudia na Uturuki kuivamia Syria ilianza miaka 2 iliyopita
Feb 16, 2016 04:18Rais Bashar al-Assad wa Syria amesema mpango wa Saudi Arabia na Uturuki kutaka kuingia kijeshi nchini Syria ulianza miaka miwili iliyopita.
-
Syria yatuma barua kwa Umoja wa Mataifa ikilaani mashambulizi ya Uturuki
Feb 14, 2016 10:29Wizara ya Mambo ya Nje ya Syria imetuma barua kwa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa na kulaani mahambulizi ya ndege za kivita za Uturuki katika ardhi ya nchi hiyo.
-
Iraq: Jamii ya Kimataifa ichukue msimamo kuhusu uvamizi wa Uturuki
Feb 07, 2016 00:08Waziri wa Mambo ya Nje wa Iraq Ibrahim al-Jaafari ameitaka Jamii ya Kimataifa ichukue msimamo unaojulikana kuhusiana na uvamizi uliofanywa na Uturuki dhidi ya ardhi ya nchi yake.