-
Kwa nini dunia imelaani hatua za kijeshi za Marekani dhidi ya Venezuela?
Jan 05, 2026 02:42Hatua ya kijeshi ya Marekani dhidi ya Venezuela na kutekwa nyara Rais wa nchi hiyo, Nicolas Maduro, imekabiliwa na wimbi kubwa la laana na ukosoaji mkubwa kote duniani.
-
Kaimu Rais wa Venezuela: Kuna mkono wa Israel katika utekaji wa Maduro
Jan 04, 2026 12:36Kaimu Rais wa Venezuela, aliyeidhinishwa na Mahakama ya Juu Zaidi nchini humo, amesema kulikuwa na "kivuli cha Wazayuni" katika operesheni ya kutekwa nyara Rais wa nchi hiyo, Nicolas Maduro.
-
Muqawama: Mashambulizi ya Venezuela yameanika dhati ya Marekani
Jan 04, 2026 12:12Makundi ya Muqawama katika eneo la Asia Magharibi sanjari na kulaani kile yalichokiita ugaidi wa kiserikali wa Marekani dhidi ya Venezuela, yamesema mashambulizi na utekaji nyara wa Rais Nicolas Maduro wa Venezuela kwa mara nyingine tena umeanika dhati na hulka halisi ya Marekani.
-
Mashambulizi ya US yaliua makumi ya watu Venezuela; Afrika Kusini yalaani
Jan 04, 2026 10:30Zaidi ya watu 40 waliuawa katika mashambulizi ya anga ya Marekani dhidi ya Venezuela siku ya Jumamosi, wakiwemo raia na wanajeshi, gazeti la New York Times limeripoti, likimnukuu afisa mkuu wa Venezuela ambaye hakutaka jina lake litajwe.
-
Marekani yaripuka kwa maandamano ya kulaani uvamizi wa kijeshi dhidi ya Venezuela
Jan 04, 2026 10:15Wananchi wa Marekani wamemiminika mitaani na mabarabarani kote nchini humo kushiriki maandamano ya kupinga na kushutumu uchokozi wa kijeshi wa Washington dhidi ya Venezuela, na kutekwa nyara kwa Rais Nicolas Maduro na mkewe, Cilia Flores.
-
Nchi mbalimbali zalaani mashambulizi ya kijeshi ya Marekani dhidi ya Venezuela
Jan 04, 2026 02:41Nchi mbalimbali duniani zimeendelea kulaani vikali mashambulizi ya kijeshi ya Marekani dhidi ya Venezuela. Nchi hizo zimeeleza wasiwasi wao kuhusu uhalali, maadili na taathira hatari za uvamizi wa Marekani huko Venezuela.
-
Wanajeshi wa Marekani washambulia meli 5 na kuuwa watu 8 huku mvutano kati ya US na Venezuela ukishtadi
Jan 01, 2026 10:56Jeshi la Marekani limeanzisha mashambulizi mapya dhidi ya boti zinazodaiwa kuwa zimehusika na magendo ya dawa za kulevya, huku mvutano kati ya Wahington na Venezuela ukipamba moto.
-
Araghchi: Wananchi wa Venezuela watalinda uhuru wao mkabala wa uhalifu wa US
Dec 31, 2025 02:27Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran, Sayyid Abbas Araghchi amesisitiza upinzani wa moja kwa moja wa Tehran dhidi ya hatua yoyote ya vitisho dhidi ya ardhi, uhuru na mamlaka ya kujitawala Venezuela, akisisitiza kuwa ana imani kuwa taifa hilo la Amerika Kusini litalinda uhuru wake.
-
Shukurani za Venezuela kwa Iran kwa msimamo wake thabiti wa kuitetea Caracas
Dec 26, 2025 02:48Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Venezuela ameisifu Iran kwa misimamo yake thabiti ya kutetea mamlaka ya kujitawala Caracas.
-
Kwa nini Marekani inashadidisha mazingira ya vita dhidi ya Venezuela?
Dec 25, 2025 02:36Marekani, kwa mara nyingine tena, imeimarisha uwepo wake kijeshi huko Caribbean.