-
Kan'ani: Uchaguzi wa Venezuela ni dhihirisho la kuimarika mfumo wa demokrasia
Jul 29, 2024 12:20Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran ameutaja uchaguzi wa rais uliofanyika nchini Venezuela uliokuwa na hamasa kubwa kuwa ni dhihirisho la kuimarika mfumo wa demokrasia
-
Maduro ashinda uchaguzi wa rais wa Venezuela kwa muhula wa tatu
Jul 29, 2024 06:01Nicolás Maduro ameshinda uchaguzi wa rais wa Venezuela na kuchaguliwa kwa muhula wa tatu kuwa rais wa nchi hiyo.
-
Kukatwa kikamilifu uhusiano wa Colombia na utawala wa Kizayuni; kuendelea kutengwa Tel Aviv kimataifa
May 03, 2024 02:43Rais Gustavo Petro wa Colombia alisema siku ya Jumatano tarehe Mosi Mei katika hotuba yake kwa mnasaba wa maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani (Mei Mosi) kuwa kuanzia Alhamisi amekata kikamilifu uhusiano wa nchi hiyo na utawala wa Kizayuni kwa sababu ya jinai na mauaji ya kimbari yanayofanywa na utawala huo huko Ukanda wa Gaza.
-
Kutangazwa tarehe ya kufanyika uchaguzi wa Rais nchini Venezuela
Mar 09, 2024 02:56Baada ya kuzingatia mapendekezo mbalimbali ya wabunge na makundi ya upinzani, hatimaye Baraza la Taifa la Uchaguzi la Venezuela limeitangaza Julai 28, 2024 ambayo ni siku ya kumbukumbu ya kuzaliwa Hugo Chávez, Rais wa zamani wa nchi hiyo kuwa siku ya kufanyika uchaguzi wa urais.
-
Maduro akosoa jinai za kikoloni za Israel dhidi ya Palestina
Feb 28, 2024 06:46Rais Nicolas Maduro wa Venezuela amesema jinai na mashambulizi ya kinyama yanayofanywa na Israel dhidi ya Ukanda wa Gaza ni ishara ya wazi kuwa utawala wa Kizayuni unaendeleza malengo ya kikoloni dhidi ya Palestina.
-
Venezuela yaalani kitendo cha Marekani cha kuiba ndege yake
Feb 13, 2024 11:51Serikali ya Venezuela imelaani vikali kitendo cha Marekani cha kuiba waziwazi ndege iliyokuwa ikimilikiwa na kampuni moja la Venezuela.
-
"US inakiuka Hati ya UN kwa kutishia kuiwekea tena vikwazo Venezuela"
Feb 01, 2024 12:02Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amekosoa vikali hatua ya Marekani ya kutishia kuiwekea upya vikwazo sekta ya mafuta ya Venezuela na kusisitiza kuwa, kkitendo hicho kinakanyaga Hati ya Umoja wa Mataifa na sheria ya kimataifa.
-
Rais wa Venezuela: Uamuzi wa Argentina wa kukataa kujiunga na BRICS ni wa kijinga
Jan 02, 2024 10:47Rais Nicolas Maduro wa Venezuela amesema uamuzi wa Argentina wa kukataa kujiunga na kundi la BRICS ni wa kijinga.
-
Venezuela yaalani jinai za utawala wa Kizayuni dhidi ya watu wa Gaza
Nov 12, 2023 13:50Serikali ya Venezuela imetoa taarifa na kulaani jinai na mashambulizi ya utawala ghasibu wa Kizayuni dhidi ya raia wa Ukanda wa Gaza.
-
Safari ya rais wa Venezuela nchini China kwa lengo la kuanzisha mfumo mpya wa dunia
Sep 10, 2023 04:40Sambamba na kupanuka uhusiano wa Venezuela na China, Rais Nicolás Maduro wa Venezuela amewasili China kwa lengo la kuongeza uhusiano wa pande mbili, kuimarisha ushirikiano na kusaidia kuanzisha mfumo mpya wa dunia.