Aug 19, 2020 02:26
Katika hali ambayo hadi sasa siasa za “mashinikizo ya kiwango cha juu kabisa” za Marekani dhidi ya Venezuela zimefeli na kugonga mwamba, Robert Charles O’Brein, mshauri wa usalama wa taifa wa White House amesisitiza kuwa, mashinikizo ya kiwango cha juu kabisa utakuwa mhimili wa harakati za Washington dhidi ya Venezuela.