-
Msemaji wa Serikali ya Iran: Uuzaji nje mafuta hauwezi kusitishwa
Mar 15, 2025 12:36Msemaji wa Serikali ya Iran amesisitiza kuwa uuzaji nje mafuta wa Iran hauwezi kusimamishwa na hakukuwa na haja ya kuwekwa vikwazo vipya iwapo vile vya huko nyuma vilikuwa na taathira.
-
Libya yagundua makaburi mawili ya halaiki yenye miili ipatayo 50 ya wahajiri na wakimbizi
Feb 10, 2025 06:59Mamlaka za Libya zimegundua miili ipatayo 50 kwenye makaburi mawili ya halaiki katika jangwa la kusini mashariki mwa nchi hiyo, katika maafa ya karibuni zaidi yaliyohusisha watu wanaotaka kufika Ulaya kupitia nchi hiyo ya Afrika Kaskazini.
-
Dunia yaalani vikwazo vya Marekani dhidi ya mahakama ya ICC/ Netanyahu ashukuru
Feb 08, 2025 07:58Nchi 79 duniani zimelaani vikwazo vya serikali ya Marekani dhidi ya Mahakama ya Kimataifa ya Jinai (ICC) ya mjini The Hague, Uholanzi.
-
Kwa nini Afrika Kusini inataka Marekani iwekewe vikwazo
Feb 06, 2025 02:31Waziri wa Madini na Rasilimali za Petroli wa Afrika Kusini, Gwede Mantashe ametoa wito kwa nchi za Afrika kusimamisha mauzo ya madini kwenda Marekani.
-
Kugonga mwamba mpango wa Serikali ya Marekani wa kuiwekea vikwazo ICC
Jan 31, 2025 02:49Baraza la Seneti la Marekani halijauidhinisha mswada wa vikwazo dhidi ya Mahakama ya Kimataifa ya Jinai ICC, vikwazo ambavyo ni jibu la utoaji vitisho linalolenga kuiadhibu mahakama hiyo kwa uamuzi wake wa kutoa hati za kukamatwa waziri mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu na aliyekuwa waziri wa vita wa utawala huo wa Kizayuni Yoav Gallant.
-
Waziri Mkuu wa Slovakia: Ukraine haitaweza katu kujiunga na NATO, ni baidi pia kupata uanachama wa EU
Jan 27, 2025 02:36Waziri Mkuu wa Slovakia Robert Fico amesema, Ukraine haitaweza katu kujiunga na shirika la kijeshi la NATO, na ni baidi pia kuwa jitihada zake za kuwa mwanachama wa Umoja wa Ulaya zitafanikiwa.
-
Rais Pezeshkian: Iran haitasalimu amri kwa vitisho na vikwazo
Jan 24, 2025 06:59Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, taifa hili halitasalimu amri kwa vitisho na vikwazo vya maadui.
-
Je, Marekani itaiondoa Cuba kwenye Orodha ya Nchi Zinazounga Mkono Ugaidi?
Jan 17, 2025 13:55Ikulu ya Marekani imetangaza kuwa rais wa nchi anayeondoka mamlakani Joe Biden, ataiondoa Cuba kwenye orodha ya nchi zinazounga mkono ugaidi.
-
Kuongezeka mpasuko ndani ya Umoja wa Ulaya juu ya utekelezaji wa vikwazo vipya dhidi ya Russia
Dec 09, 2024 03:09Hatua za Umoja wa Ulaya (EU) za kujaribu kufikia mwafaka juu ya utekelezaji wa kifurushi cha 15 cha vikwazo dhidi ya Russia zimegonga mwamba kutokana na kura za turufu zilizopigwa na Latvia na Lithuania.
-
Zaidi ya wawakilishi 60 wa Uingereza wataka kuwekwa vikwazo dhidi ya Israel
Nov 30, 2024 12:02Zaidi ya wawakilishi 60 katika Bunge la Uingereza kutoka vyama 7 tofauti wametia saini barua iliyotumwa kwa Waziri wa Mambo ya Nje wa nchi hiyo, David Lammy, wakitaka kuwekwa vikwazo vya pande zote dhidi ya Israel kutokana na ukiukaji wake wa mara kwa mara wa sheria za kimataifa katika ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu.