-
Jeshi la Syria: Magaidi wakufurishaji 100 wameuawa na kujeruhiwa; maeneo mengi yamekombolewa
Nov 30, 2024 06:08Jeshi la Syria limewaua na kuwajeruhi mamia ya magaidi wa kitakfiri wanaoungwa mkono na mataifa ya kigeni katika operesheni za kujihami na kujibu mapigo kaskazini mwa nchi hiyo ya Kiarabu.
-
Kupasishwa vikwazo dhidi ya utawala wa Kizayuni katika Bunge la Ireland
Nov 10, 2024 02:11Wabunge wa Ireland wamepasisha muswada ambao unauarifisha utawala wa Kizayuni wa Israel kuwa ni utawala mtenda jinai unaofanya mauaji ya kimbari katika Ukanda wa Gaza mbele ya macho ya walimwengu.
-
Radiamali ya Iran kwa vikwazo vya nchi za Ulaya dhidi ya Shirika la Ndege la Iran Air
Sep 13, 2024 02:30Msemaji wa Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Iran ameichukulia kauli ya Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Uingereza, Ufaransa na Ujerumani kuhusiana na kufutwa makubaliano ya pande mbili ya kutoa huduma za anga kwa Iran kuwa ni ugaidi wa kiuchumi wa nchi za Magharibi dhidi ya taifa la Iran.
-
Takwa la Umoja wa Mataifa la kuwekewa vikwazo Israel
Sep 09, 2024 13:06Ripota maalumu wa Umoja wa Mataifa kuhusu haki ya chakula amesema kuwa, Israel sio tu inazuia misaada ya kibinadamu kuingia Gaza, bali pia inaharibu ardhi na vyanzo vya chakula vya Palestina.
-
Ombi la Shirika la Haki za Binadamu la Ulaya-Mediterranean la kuwekewa vikwazo Israel
Aug 22, 2024 10:46Shirika la Kutetea Haki za Binadamu la Ulaya na Mediterania (The Euro-Mediterranean Human Rights Monitor-Euro-Med-) limeonya katika taarifa yake siku ya Jumatano kuhusu amri za mara kwa mara za utawala wa Kizayuni wa Israel za kuwataka Wapalestina wahame katika maeneo tofauti ya Gaza na kuzitaka nchi za dunia ziuwekee vikwazo utawala huo ghasibu na zisiuunge mkono.
-
Thuluthi moja ya nchi zote duniani zimewekewa vikwazo na Marekani
Jul 27, 2024 10:17Gazeti la Marekani la Washington Post limetoa ripoti inayoonyesha kuwa katika kipindi cha miongo mitatu iliyopita, serikali ya nchi hiyo imeweka vikwazo vya kiuchumi na visivyo na athari yoyote dhidi ya thuluthi moja ya nchi zote duniani.
-
Kuongezeka vikwazo vya kimataifa dhidi ya utawala haramu wa Israel
Jul 13, 2024 02:14Moja ya hatua za wazi za kuuwekea mashinikizo na kuutenga utawala wa Kizayuni, ambazo zimeshika kasi katika miezi ya hivi karibuni kutokana na kuendelea vita vya umwagaji damu vya utawala huo huko Ghaza, ni kupanuka kwa harakati ya kuisusia Israel katika ngazi za kimataifa.
-
Baraza la Wawakilishi la Marekani lakabiliana na Mahakama ya Kimataifa ya Jinai ICC
Jun 06, 2024 05:01Kufuatia ombi la mwendesha mashtaka wa Mahakama ya Kimataifa ya Jinai (ICC) la kutoa kibali cha kukamatwa viongozi wa utawala haramu wa Israel, Baraza la Wawakilishi la Marekani mnamo Jumanne, Juni 4, liliidhinisha mpango wa kuiwekea vikwazo mahakama hiyo ikiwa ni katika kuitetea Tel Aviv kwa hali na mali.
-
Bagheri: Iran na Russia zimegeuza vikwazo vya Marekani kuwa fursa
May 18, 2024 07:39Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema katika Mkutano wa "Russia na Ulimwengu wa Kiislamu" kwamba: Vikwazo vya Marekani vimegeuzwa kuwa fursa kwa busara na viongozi wa Tehran na Moscow.
-
Vituo vya utafiti vya Ulaya vyaiunga mkono Palestina na kuiwekea vikwazo Israel
Apr 30, 2024 11:11Vituo vya utafiti barani Ulaya vimeuwekea vikwazo utawala wa Kizayuni na kuunga mkono malengo ya Palestina. Viituo hivyo vya utafiti vya Ulaya pia vimelaani jinai za utawala huo unaotekeleza mauaji ya kimbari dhidi ya watu wa Gaza.