-
Ushauri wa Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi kuhusu kutumia vikwazo kama fursa ya maendeleo
Apr 25, 2024 11:17Akiashiria nafasi muhimu ya jumuiya ya wafanyakazi katika kuongeza uzalishaji na kuboresha hali ya kiuchumi ya Iran, Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ameyataja maendeleo ya Jamhuri ya Kiislamu katika sekta mbalimbali hususan silaha kuwa ni mfano wa kugeuza vikwazo kuwa fursa.
-
Kuongezeka kimataifa uungaji mkono kwa kampeni ya kususia bidhaa za Israeli
Apr 12, 2024 03:29Huku mauaji ya kimbari yakiwa yanaendelea kufanywa na utawala haramu wa Israel dhidi ya watu wa Gaza, nchi nyingi duniani zinaendelea kujiunga na kampeni ya kususia bidhaa za Israel na vilevile za makampuni mengi ya Kimarekani yanayouunga mkono utawala huo wa kibaguzi.
-
Marekani yaiwekea vikwazo GAZA NOW kwa tuhuma za kuchangisha fedha za kuisaidia HAMAS
Mar 28, 2024 10:58Wizara ya Fedha ya Marekani imeiwekea vikwazo tovuti ya mtandao ya GAZA NOW kwa madai ya kuchangisha misaada ya kifedha kwan ajili ya Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS.
-
Msemaji wa Rais wa Russia: Iran ni mfano wa wazi wa nchi inayoendelea ikiwa imewekewa vikwazo
Mar 08, 2024 10:37Msemaji wa ofisi ya rais wa Russia ameitaja Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kuwa ni mfano wa wazi wa nchi inayoendelea ikiwa imewekewa vikwazo.
-
Rais wa Iran: Tumesambaratisha vikwazo
Feb 04, 2024 02:53Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema: Kurushwa kwa satalaiti 11 za Iran kwa mafanikio kumeshinda vikwazo vya Marekani na Magharibi dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu.
-
Uungaji mkono usio na kikomo wa US na UK kwa utawala wa Kizayuni; kuanzia misaada ya kila hali mpaka uwekaji vikwazo dhidi ya Muqawama
Dec 18, 2023 06:12Serikali za Marekani na Uingereza zinazojinasibu kuwa watetezi wa haki za binadamu, mara hii zimeendeleza uungaji mkono wao kwa jinai za utawala wa Kizayuni dhidi ya watu wa Gaza kwa kuwawekea vikwazo vipya makamanda wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC).
-
Kan'ani: Marekani, Uingereza na Canada zinapaswa kubebeshwa dhima ya jinai zote za Israel
Dec 10, 2023 09:15Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema kuwa, tawala za Marekani, Uingereza na Canada zinapaswa kubeba dhima ya jinai zote zinazofanywa na utawala wa Kizayuni kutokana na uungaji mkono mkubwa na wa wazi wa kijeshi, kisiasa, kijasusi na kipropaganda kwa utawala huo dhalimu hasa katika vita vya hivi sasa vya Ghaza.
-
Hatua mpya za Marekani katika fremu ya kuuunga mkono utawala wa Kizayuni wa Israel
Oct 30, 2023 11:35Tangu kuanza duru mpya ya vita kati ya utawala wa Kizayuni na makundi ya muqawama ya Palestina na operesheni ya Kimbunga ya Al-Aqsa na radiamali kali ya Wazayuni dhidi ya hatua hiyo, Marekani ikiwa mshirika wa kistratijia wa Israel imetoa himaya kubwa ya kisiasa, kidiplomasia na kijeshi kwa utawala huo ghasibu. Filihali Washington imechukua hatua mpya katika mwelekeo huu.
-
Kupungua uzalishaji wa viwanda nchini Ujerumani; sababu na matokeo yake
Sep 09, 2023 10:52Wizara ya Uchumi na Teknolojia ya Ujerumani imeripoti kwamba uzalishaji wa viwanda nchini Julai iliyopita ulishuka kwa kasi kuliko ilivyotarajiwa, na hivyo kuweka wazi matatizo yanayoukabili uchumi mkubwa zaidi barani Ulaya.
-
Khumsi (moja ya tano) ya uchumi wa dunia yawekewa vikwazo na Marekani
Jul 27, 2023 07:37Licha ya kuwa vikwazo dhidi ya nchi mbalimbali dfuniani ni mbinu ambayo imekuwa ikitumiwa kwa miaka mingi na viongozi wa Marekani kwa ajili ya kuzishinikiza nchi tofauti kufuata siasa zao za ubabe, lakini mbinu hii imekuwa na matokeo hasi kwa Washington katika kipindi cha muda mrefu.