-
Vikwazo vya Umoja wa Ulaya dhidi ya viongozi kadhaa wa Taliban
Jul 23, 2023 02:17Baraza la Ulaya tarehe 20 mwezi huu wa Julai lilitangaza kuwawekea vikwazo Abdul Hakim Haqani Jaji Mkuu wa Mahakama ya Juu ya Afghanistan, Abdul Hakim Sharei Waziri wa Sheria na Moulavi Habibullah Agha Kaimu Waziri wa Elimu katika serikali ya mpito ya Afghanistan kwa kuhusika katika kuwanyima wasichana na wanawake wa Afghanistan haki yao ya kupata elimu, kupata haki ya kisheria, na haki sawa na wanaume wa nchi hiyo.
-
Ununuzi wa mafuta kutoka Iran, nembo ya kufeli sera za vikwazo za Magharibi
Jun 15, 2023 02:23Takwimu mpya zilizotolewa na Kituo cha Takwimu cha Ulaya (Eurostat) zinaonyesha kuwa, kwa mara ya kwanza tangu mwaka 2018, Ujerumani imeagiza shehena kubwa ya mafuta au bidhaa za petroli kutoka Iran licha ya vikwazo vya Marekani.
-
Kutishiwa kuwekewa vikwazo Uganda, njama za Marekani za kuzitwisha ufuska nchi za Afrika
Jun 01, 2023 12:12Rais wa Marekani, Joe Biden amelaani sheria mpya iliyotiwa saini na Rais Yoweri Kaguta Museveni wa Uganda dhidi ya vitendo vya ushoga na kusema kuwa Marekani inaweza kuiwekea Uganda vikwazo na ameitaka Uganda kufuta mara moja sheria hiyo.
-
Kushadidi madhara ya vita na vikwazo kwa mataifa masikini
Mar 15, 2023 02:22Migogoro wa kisiasa na kiuchumi hususan vita ni mambo ambayo kwa hakika yamekuwa na taathira hasi kwa hali ya uchumi wa mataifa masikini hususan nchi za Kiafrika.
-
Marekani yaendeleza uraibu wake wa vikwazo kwa kuiwekea Iran vikwazo vipya
Mar 03, 2023 07:45Marekani imeyawekea vikwazo makampuni na meli kadhaa katika kuendeleza muelekeo wake wa kiundumakuwili na sera yake ya mashinikizo ya juu kabisa dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
-
EU yaidhinisha kifurushi cha 10 cha vikwazo dhidi ya Russia kwa sababu ya vita vya Ukraine
Feb 25, 2023 03:20Nchi wanachama wa Umoja wa Ulaya zimeidhinisha kifurushi cha 10 cha vikwazo dhidi ya Russia kwa sababu ya vita vya Ukraine.
-
Hizbullah: Vikwazo vya Marekani havina tofauti na vita vya kijeshi
Feb 20, 2023 02:23Mkuu wa Baraza Kuu la Utendaji la Hizbullah ya Lebanon amesema, vikwazo vya Marekani dhidi ya Lebanon na nchi zingine havina tofauti na vita vya kijeshi.
-
Jumuiya ya Maulamaa wa Muqawama yasisitiza kuondolewa haraka vikwazo dhidi ya Syria
Feb 13, 2023 11:49Jumuiya ya Maulamaa wa Muqawama imetoa taarifa ikisisitiza udharura wa kuondolewa haraka iwezekanavyo vikwazo dhidi ya Syria katika kipindi hiki ambacho nchi hiyo inahitajia misaada kutokana na kukumbwa na janga la tetemeko la ardhi.
-
Syria: Vikwazo vya kidhalimu vya Marekani vinazidisha maafa ya tetemeko la ardhi
Feb 07, 2023 07:13Kufuatia tetemeko la ardhi lililotokea kaskazini ya Syria, Waziri wa Mambo ya Nje wa nchi hiyo amesema, athari za vikwazo vya upande mmoja vya Marekani zinaongeza maafa ya janga hilo la kimaumbile.
-
Jibu la Iran kwa vikwazo vya Umoja wa Ulaya
Jan 28, 2023 02:32Katika kukabiliana na vikwazo vya hivi karibuni vya Umoja wa Ulaya, Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imechapisha orodha mpya ya shakhsia na taasisi za Ulaya ambazo zimewekewa vikwazo na serikali ya Tehran.