-
Rais Rouhani: Iran imesambaratisha vikwazo
May 05, 2021 07:23Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema vikwazo dhidi ya nchi hii vimesambaratishwa.
-
Onyo lisilo na kifani la Putin kwa Wamagharibi kuhusu kuvuka mistari myekundu ya Russia
Apr 23, 2021 22:51Rais Vladimir Putin wa Russia amehutubu mbele ya wajumbe wa mabunge mawili ya nchi hiyo, Duma na Seneti, na magavana wa maeneo yote ya nchi hiyo ambapo ametoa onyo kali kwa nchi za Magharibi.
-
Hatua mpya za serikali ya Biden dhidi ya Russia; vikwazo vipya na kufukuzwa wanadiplomasia
Apr 17, 2021 07:40Serikali ya Marekani juzi Alhamisi iliwawekea vikwazo Shakhsia 12 wa serikali ya Russia wakiwemo viongozi kadhaa wa serikali, wa masuala ya intelijensia wa nchi hiyo pamoja na taasisi 20 za Russia.
-
Vikwazo vipya vya Umoja wa Ulaya dhidi ya Iran; kwenda sambamba na Washington na Tel Aviv
Apr 14, 2021 08:18Baraza la Umoja wa Ulaya Jumatatu tarehe 12 mwezi huu wa Aprili liliwajumuisha maafisa 8 na taasisi 3 katika ordha ya vikwazo dhidi ya Iran kwa kisingizio cha eti kukiuka haki za binadamu. Aidha baraza hilo limechukua uamuzi wa kurefusha hatua zake dhidi ya Iran hadi tarehe 13 mwezi Aprili mwaka kesho kwa kisingizio cha kile ilichokitaja kuwa ukiukaji wa haki za binzdamu.
-
Kikao cha pamoja cha JCPOA; matarajio ya kundi la 4+1 na matumaini ya Iran
Apr 08, 2021 03:37Kikao cha 18 cha Kamisheni ya Pamoja ya JCPOA kilifanyika juzi Jumanne huko Vienna mji mkuu wa Austria kwa kuhudhuriwa na wawakilishi wa kundi la 4+1 na pia Iran. Nchi wanachama wa mapatano ya JCPOA baada ya majadiliano na kuchunguza mapatano hayo zimekubaliana kuendeleza mashauriano katika ngazi ya kitaalamu ili kuiondolea Iran vikwazo.
-
Kuendelea mgogoro nchini Algeria; kususiwa uchaguzi wa Bunge na vyama vya siasa
Apr 06, 2021 22:04Mgogoro wa kisiasa nchini Algeria ungali unaendelea kufukuta kwani licha ya juhudi za serikali za kutuliza hali ya mambo na kuitisha uchaguzi wa Bunge wa mapema, lakini vyama vinne vya siasa vya nchi hiyo vimetangaza kususia uchaguzi huo.
-
Kuondolewa vikwazo dhidi ya maafisa wa Mahakama ya ICC vilivyowekwa wakati wa utawala wa Trump
Apr 04, 2021 07:59Serikali ya Rais Joe Biden wa Marekani imetangaza kuondoa vikwazo vilivyokuwa vimewekwa na serikali iliyopita ya Donald Trump dhidi ya maafisa wa Mahakama ya Kimataifa ya Jinai (ICC).
-
White House: Tunachunguza uwezekano wa kutekeleza vikwazo baada ya mapatano yaliyofikiwa kati ya Iran na China
Mar 30, 2021 03:25Msemaji wa White House ametoa radiamali yake kufuatia kusainiwa mpango wa ushirikiano wa kimkakati wa miaka 25 kati ya Iran na China.
-
Baada ya China kuiwekea vikwazo UK, sasa London yalalamika
Mar 26, 2021 22:02Waziri wa Mambo ya Nje wa Uingereza amelalamikia vikali vikwazo vilivyowekwa na China dhidi ya nchi yake.
-
Mbunge wa Bunge la Ulaya akosoa siasa za vikwazo za Marekani
Mar 07, 2021 04:41Mbunge mmoja wa Bunge la Ulaya raia wa Ireland amekosa siasa za vikwazo za Marekani dhidi ya mataifa mengine huru yanayojitawala na kuzitaja siasa hizo kuwa ni ugaidi wa kiuchumi.