Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

vikwazo

  • Kuanza kampeni kubwa ya vikwazo ya serikali ya Biden dhidi ya Russia

    Kuanza kampeni kubwa ya vikwazo ya serikali ya Biden dhidi ya Russia

    Mar 04, 2021 22:59

    Uhusiano wa Marekani na Russia katika serikali mpya ya Marekani na wakati huu wa uongozi wa Joe Biden umezidi kuwa mbaya. Serikali ya Biden mbali na kudhihirisha misimamo iliyodhidi ya Russia, hivi sasa imeanzisha kampeni kubwa ya vikwazo dhidi ya Moscow.

  • Sisitizo la kusimama kidete Venezuela mbele ya vita vya kiuchumi vya Marekani na Ulaya

    Sisitizo la kusimama kidete Venezuela mbele ya vita vya kiuchumi vya Marekani na Ulaya

    Feb 26, 2021 08:34

    Kutokana na kuendelea sera za vikwazo za Marekani na madola ya Ulaya, dhidi ya Venezuela, Rais Nicolas Maduro wa nchi hiyo amesisitiza kuwa, nchi yake itaendelea kusimama kidete mkabala wa sera hizo ambazo amesema kuwa ni “vita vya kiuchumi vya pande kadhaa”.

  • China yamwekea vikwazo Pompeo na maafisa wenzake 27 kwa 'uongo na udanganyifu'

    China yamwekea vikwazo Pompeo na maafisa wenzake 27 kwa 'uongo na udanganyifu'

    Jan 21, 2021 03:33

    Wizara ya Mambo ya Nje ya China imetangaza kuwa imemwekea vikwazo Mike Pompeo, waziri wa mambo ya nje wa serikali ya Marekani iliyomaliza muda wake ya Donald Trump pamoja na maafisa wengine 27 wa serikali hiyo kwa sababu ya kile ilichokiita hatua za kiwendawazimu zilizoingilia vibaya sana masuala ya ndani ya China.

  • Marekani yakataa ombi la Umoja wa Mataifa la kuitaka ifutilie mbali vikwazo dhidi ya Ansarullah

    Marekani yakataa ombi la Umoja wa Mataifa la kuitaka ifutilie mbali vikwazo dhidi ya Ansarullah

    Jan 15, 2021 09:22

    Ikiwa ni katika juhudi zake za kuunga mkono muungano wa kijeshi unaoongozwa na Saudi Arabia dhidi ya Yemen, Marekani imechukua hatua ya kuiwekea vikwazo harakati ya Ansarullah. Hatua hiyo ambayo imechukuliwa katika siku za mwisho za utawala wa Rais Trump huko White House imekabiliwa na radiamali kali ya Umoja wa Mataifa.

  • Hatua mpya ya serikali ya Trump dhidi ya Cuba

    Hatua mpya ya serikali ya Trump dhidi ya Cuba

    Jan 13, 2021 07:00

    Ikiwa ni katika kudumisha siasa zake za uhasama dhidi ya serikali za mrengo wa kushoto katika eneo la Amerika ya Latini, serikali ya Rais Donald Trump wa Marekani kwa mara nyingine imelirejesha jina la Cuba katika orodha ya nchi zinazodaiwa kuunga mkono ugaidi.

  • Ujumbe na malengo ya vikwazo vya Marekani dhidi ya Falih al-Fayadh

    Ujumbe na malengo ya vikwazo vya Marekani dhidi ya Falih al-Fayadh

    Jan 11, 2021 23:02

    Wizara ya Fedha ya Marekani, siku ya Ijumaa iliweka jina la Falih al-Fayadh, Mkuu wa Harakati ya Wananchi ya al-Hashd al-Shaabi ya nchini Iraq katika orodha yake ya vikwazo kwa kisingizio cha kukiuka haki za binadamu. Hatua hiyo ya Marekani ina ujumbe muhimu kwa mitazamo kadhaa.

  • Maduro katika ujumbe wake kwa mwaka mpya wa Miladia; tutaimarisha zaidi uhusiano na Iran

    Maduro katika ujumbe wake kwa mwaka mpya wa Miladia; tutaimarisha zaidi uhusiano na Iran

    Jan 03, 2021 03:06

    Katika kuanza mwaka mpya wa 2021 Miladia Rais wa Venezuela akiashiria suala la kuilinda ardhi ya nchi hiyo amesisitiza kuwa ataimarisha uhusiano na Iran, Russia, China, Cuba, Uturuki na India.

  • Vikwazo vipya vya Marekani dhidi ya Venezuela

    Vikwazo vipya vya Marekani dhidi ya Venezuela

    Dec 20, 2020 07:59

    Licha ya kufeli kwa sera za vikwazo za Marekani dhidi ya Venezuela, lakini viongozi wa Washington wangali wamekumbatia siasa hizo za mashinikizo na kuendelea kutekeleza siasa hizo zilizoshindwa na kugonga ukuta dhidi ya nchi hiyo ya Amerka ya Latini.

  • Putin: Vikwazo dhidi ya nchi zinazokabiliana na janga la corona vinapaswa kuondolewa

    Putin: Vikwazo dhidi ya nchi zinazokabiliana na janga la corona vinapaswa kuondolewa

    Dec 18, 2020 02:05

    Rais wa Russia amesisitiza katika mkutano wake wa kila mwaka kwamba, vikwazo na vizuizi vya kibiashara vilivyowekewa nchi ambazo zimeathiriwa na maambukizi ya corona vinapaswa kuondolewa.

  • Iran yamuwekea vikwazo balozi wa Marekani nchini Yemen

    Iran yamuwekea vikwazo balozi wa Marekani nchini Yemen

    Dec 10, 2020 04:45

    Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imetangaza kumuweka balozi wa Marekani nchini Yemen katika orodha ya waliowekewa vikwazo na Iran.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS