Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

vikwazo

  • Maduro katika ujumbe wake kwa mwaka mpya wa Miladia; tutaimarisha zaidi uhusiano na Iran

    Maduro katika ujumbe wake kwa mwaka mpya wa Miladia; tutaimarisha zaidi uhusiano na Iran

    Jan 03, 2021 03:06

    Katika kuanza mwaka mpya wa 2021 Miladia Rais wa Venezuela akiashiria suala la kuilinda ardhi ya nchi hiyo amesisitiza kuwa ataimarisha uhusiano na Iran, Russia, China, Cuba, Uturuki na India.

  • Vikwazo vipya vya Marekani dhidi ya Venezuela

    Vikwazo vipya vya Marekani dhidi ya Venezuela

    Dec 20, 2020 07:59

    Licha ya kufeli kwa sera za vikwazo za Marekani dhidi ya Venezuela, lakini viongozi wa Washington wangali wamekumbatia siasa hizo za mashinikizo na kuendelea kutekeleza siasa hizo zilizoshindwa na kugonga ukuta dhidi ya nchi hiyo ya Amerka ya Latini.

  • Putin: Vikwazo dhidi ya nchi zinazokabiliana na janga la corona vinapaswa kuondolewa

    Putin: Vikwazo dhidi ya nchi zinazokabiliana na janga la corona vinapaswa kuondolewa

    Dec 18, 2020 02:05

    Rais wa Russia amesisitiza katika mkutano wake wa kila mwaka kwamba, vikwazo na vizuizi vya kibiashara vilivyowekewa nchi ambazo zimeathiriwa na maambukizi ya corona vinapaswa kuondolewa.

  • Iran yamuwekea vikwazo balozi wa Marekani nchini Yemen

    Iran yamuwekea vikwazo balozi wa Marekani nchini Yemen

    Dec 10, 2020 04:45

    Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imetangaza kumuweka balozi wa Marekani nchini Yemen katika orodha ya waliowekewa vikwazo na Iran.

  • Sisitizo la Putin la kumuunga mkono Lukashenko mkabala na vikwazo vipya vya nchi za Magharibi

    Sisitizo la Putin la kumuunga mkono Lukashenko mkabala na vikwazo vipya vya nchi za Magharibi

    Nov 06, 2020 03:17

    Maandamano makubwa yaliyofanyika hivi karibuni nchini Belarus kufuatia uchaguzi uliomrejesha tena madarakani Rais Alexander Lukashenko, kilikuwa kisingizio kizuri kwa nchi za Magharibi kuingilia masuala ya ndani ya nchi hiyo na kuanza kutekeleza vikwazo na siasa za uhasama dhidi ya serikali yake.

  • Kurefusha Marekani vikwazo dhidi ya Sudan; zawadi ya kuanzisha uhusiano wa kawaida na Israel

    Kurefusha Marekani vikwazo dhidi ya Sudan; zawadi ya kuanzisha uhusiano wa kawaida na Israel

    Nov 03, 2020 10:11

    Serikali ya Trump ikiwa na lengo la kuuridhisha utawala wa haramu wa Israel imechukua hatua tofauti ikiwemo ya kuandaa uwanja wa kutambuliwa rasmi utawala huo na mataifa ya Kiarabu na Kiislamu ambapo hatua yake ya karibuni kabisa na kuanzishwa uhusiano wa kawaida kati ya Sudan na utawala huo ghasibu.

  • Vikwazo vya Umoja wa Ulaya dhidi ya Rusia na Belarus

    Vikwazo vya Umoja wa Ulaya dhidi ya Rusia na Belarus

    Oct 14, 2020 03:00

    Ikiwa ni muendelezo wa uingiliaji wa nchi za Magharibi wa masuala ya ndani ya mataifa mengine, sasa hivi Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Umoja wa Ulaya wamekubaliana kutekeleza kivitendo vikwazo dhidi ya Russia na Belarus.

  • Sudan yaikosoa Marekani kwa kukwamishwa kufikiwa demokrasia huko Khartoum

    Sudan yaikosoa Marekani kwa kukwamishwa kufikiwa demokrasia huko Khartoum

    Oct 12, 2020 04:05

    Waziri Mkuu wa Sudan ameituhumu Marekani kuwa inaikwamisha Sudan kufikia demokrasia.

  • Madai ya uongo ya Washington kuhusu hali ya corona nchini Iran

    Madai ya uongo ya Washington kuhusu hali ya corona nchini Iran

    Oct 07, 2020 23:02

    Tangu Marekani ilipojiondoa katika makubaliano ya nyuklia ya JCPOA hapo mwaka 2018 serikali ya Washington ilianza kutekeleza vikwazo vikali ambavyo havijawahi kushuhidiwa katika historia katika fremu ya kile kilichotajwa kuwa ni mashinikizo ya kiwango cha juu zaidi.

  • Nchi 26 duniani zatoa wito wa kuhitimishwa vikwazo vya kidhalimu vya Marekani

    Nchi 26 duniani zatoa wito wa kuhitimishwa vikwazo vya kidhalimu vya Marekani

    Oct 06, 2020 04:42

    Nchi 26 ikiwemo Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, Syria, Russia, China na Iraq zimetangaza kuwa, vikwazo vya kidhalimu vya kiuchumi vya Marekani na baadhi ya nchi za Magharibi dhidi ya nchi nyingine zinazojitawala duniani vimekuwa kikwazo kikubwa katika mapambano ya kukabiliana na maambukizi ya virusi vya corona na zimetoa wito wa kuhitimishwa hali hiyo.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS