-
Nchi za Ulaya na Asia zataka kuondolewa vikwazo Iran
Oct 20, 2018 04:34Nchi za Ulaya na Asia sanjari na kutangaza utayarifu wao wa kuendelea kufungamana na makubaliano ya nyuklia ya Iran, zimesema kuondolewa vikwazo Jamhuri ya Kiislamu ni sehemu muhimu ya mapatano hayo ya kimataifa yanayofahamika kama JCPOA.
-
Zarif: Vikwazo vipya vya US dhidi ya Iran vinakiuka maamuzi ya ICJ
Oct 18, 2018 10:34Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema Marekani imekubuhu na ni mraibu mkubwa wa kuyawekea mataifa mengine vikwazo, na kwamba vikwazo vipya dhidi ya Tehran ni ukiukaji wa moja kwa moja kwa maamuzi ya hivi karibuni ya Mahakama ya Kimataifa ya Uadilifu (ICJ).
-
Qassemi: Vikwazo vipya vya Marekani dhidi ya Iran ni kuvunjia heshima sheria za kimataifa
Oct 17, 2018 23:48Msemaji wa Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, vikwazo vipya vya Marekani dhidi ya Iran ni kuvunjia heshima sheria na kanuni za kimataifa na hilo linatokana na chuki ya serikali ya Washington kwa taifa hili la Kiislamu.
-
Vikwazo vya kongresi ya Marekani dhidi ya Hizbullah ya Lebanon
Oct 13, 2018 08:25Katika kuendelea jitihada za Marekani za kukabiliana na harakati ya mapambano ya Kiislamu ya Hizbullah ya Lebanon; kongresi ya nchi hiyo imepasisha mswada wa kuiwekea vikwazo vipya harakati hiyo.
-
Ndege za Qatar Airways kuendelea na safari za Iran licha ya vikwazo vya Marekani
Oct 09, 2018 04:33Shirika la ndege la Qatar Airways limesema safari za ndege za shirika hilo za kwenda na kutoka Iran zitaendelea kama kawaida, licha ya vikwazo vya Marekani dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu.
-
Pigo jingine kubwa kwa Trump: Mahakama ya juu zaidi ya UN yaiamrisha Marekani iiondolee vikwazo Iran + Video
Oct 03, 2018 10:59Tehran imepata ushindi mwingine mbele ya Marekani baada ya Mahakama ya Kimataifa ya Uadilifu (ICJ) kutoa amri kwa Washington kusimamisha vikwazo vyake vya upande mmoja haraka iwezekanavyo dhidi ya Iran.
-
Ubeberu wa Marekani haubakishi mtu, sasa ni zamu ya Algeria
Sep 29, 2018 11:14Msemaji wa ubalozi wa Marekani mjini Algiers amesema kuwa, Washington hivi sasa inachunguza uwezekano wa kuiwekea vikwazo Algeria kutokana na kununua silaha kutoka Russia.
-
Uturuki: Tutaendelea kushirikiana na Iran licha ya Marekani kuiwekea vikwazo
Sep 27, 2018 03:54Waziri wa Mambo ya Nje wa Uturuki amesema kuwa, Ankara haitojali vikwazo vya Marekani dhidi ya Iran na itaendeleza ushirikiano wake na Tehran kama kawaida.
-
Iran: Ndoto ya Marekani ya kuzuia uuzwaji mafuta ya nchi hii, haina tafsiri
Sep 24, 2018 10:49Waziri wa Mafuta wa Iran sambamba na kubainisha kwamba mbali na Korea Kusini, hakuna nchi iliyocha kununua mafuta ya nchi hii na kusisitiza kuwa, ndoto ya Marekani ya kusimamisha kabisa uuzaji nje mafuta ya Iran haitathibiti.
-
Ukosoaji wa ripota maalumu wa Umoja wa Mataifa dhidi ya vikwazo vya upande mmoja
Sep 16, 2018 02:49Ulimwengu wa magharibi ukiwa na shabaha ya kutwisha matakwa na kusukuma mbele gurudumu la malengo yake, daima umekuwa ukitumia wenzo wa vikwazo.