-
Hatua mpya za Umoja wa Ulaya za kukabiliana na vikwazo vya Marekani dhidi ya Iran
Sep 15, 2018 03:29Umoja wa Ulaya (EU), ambao nchi zake tatu muhimu, yaani Troika ya Ulaya inayoundwa na Ujerumani, Ufaransa na Uingereza ni wanachama wa kundi 5+1, mbali kuunga mkono makubaliano ya nyuklia ya Iran ya Mpango Kamili wa Pamoja wa Utekelezaji (JCPOA) umesisitiza kukabiliana na hatua za Marekani za kutaka kuyavunja makubaliano hayo; na katika kufanya hivyo umechukua hatua nyengine mpya kwa madhumuni ya kuyalinda makubaliano hayo ya JCPOA.
-
Shamkhani: Iran haitasalimu amri mbele ya dhulma na uonevu
Sep 10, 2018 23:48Katibu wa Baraza Kuu la Usalama wa Taifa la Iran amesema kuwa, taifa la Iran kamwe halitasalimu amri mbele ya dhulma, uonevu na udhalilishaji na litawadunisha maadui na wanaolitakia mabaya.
-
Marekani yaendelea kuiwekea vikwazo Korea Kaskazini licha ya Pyongyang kutekeleza majukumu yake
Sep 07, 2018 03:08Katika kuendeleza hatua za uhasama za Marekani dhidi ya Korea Kaskazini, kwa mara nyingine Wizara ya Hazina ya Marekani imeiwekea vikwazo serikali ya Pyongyang.
-
Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia akosoa vikali muamala wa Marekani dhidi ya Iran
Sep 05, 2018 03:02Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia Sergey Lavrov amekosoa vikali sera za upande mmoja zinazotekelezwa na Marekani na kueleza kwamba muamala wa Washington dhidi ya Iran si wa kitaalamu wala hauendani na uhalisia wa mambo.
-
Kelele za John Bolton; Iran itasimama kidete na haitatetereka
Aug 23, 2018 05:48John Bolton, Mshauri wa Mais wa Marekani katika Usalama wa Taifa akizungumza mwisho wa safari yake ya siku tatu katika utawala wa Kizayuni wa Israel amekariri madai yake dhidi ya Iran na kusema vitisho na vikwazo dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran vitaongezwa ili kuilazimisha Tehran ibadili msimamo wake.
-
Majibu ya Russia kwa vikwazo vipya vya Marekani
Aug 23, 2018 03:19Kwa miaka kadhaa sasa uhusiano wa Marekani na Russia umekuwa katika mkondo wa mzozo na mivutano.
-
Jahangiri: Iran katu haitagonga mwamba
Aug 18, 2018 23:08Makamu wa Kwanza wa Rais wa Iran amesisitiza kuwa, Iran katu haitagonga mwamba na kuongeza kuwa: "Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ina uwezo mkubwa na usio na kifani kwa mtazamo wa mali asili, nguvu kazi na uongozi wenye busara katika kukabiliana na vikwazo."
-
Marekani yatoa vitisho tena kwa wanunuzi wa mafuta ya Iran
Aug 17, 2018 23:44Serikali ya Marekani imezitishia tena kuziwekea vikwazo nchi zinazonunua mafuta kutoka Iran ikiwemo China.
-
Uturuki yajibu mapigo, yaziwekea vikwazo bidhaa za kielektroniki za Marekani
Aug 14, 2018 22:05Rais Recep Tayyip Erdoğan wa Uturuki ametangaza kuwekewa vikwazo bidhaa za kielektroniki zinazozalishwa nchini Marekani.
-
Kiongozi Muadhamu: Hatutafanya mazungumzo na Marekani
Aug 13, 2018 10:36Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ameashiria matamashi na lugha zisizo na adabu za viongozi wa Marekani kuhusiana na vikwazo, vita na mazungumzo na Iran kusema kuwa, tunasisitiza kwamba, hakutatokea vita na hatutafanya mazungumzo.