Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

vikwazo

  • Jebeli: Vikwazo dhidi ya IRIB ni mfano wa wazi wa udikteta dhidi ya Mapinduzi ya Kiislamu

    Jebeli: Vikwazo dhidi ya IRIB ni mfano wa wazi wa udikteta dhidi ya Mapinduzi ya Kiislamu

    Jan 01, 2023 07:19

    Mkuu wa Shirika la Utangazaji la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran IRIB amesema kuwa vikwazo lilivyowekewa shirika hilo ni mfano wa wazi wa udikteta dhidi ya Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran.

  • Kukatwa matangazo ya kanali za Irani na Russia katika satelaiti ya Eutelsat; ishara ya ukiukaji wa uhuru wa kujieleza

    Kukatwa matangazo ya kanali za Irani na Russia katika satelaiti ya Eutelsat; ishara ya ukiukaji wa uhuru wa kujieleza

    Dec 23, 2022 05:00

    Shirika la satelaiti la Utelsat limepata hasara ya euro milioni kadhaa kutokana na uamuzi wake wa kukata matangazo ya kanali za Iran na Russia kwenye satelaiti hiyo.

  • Ushiriki mdogo wa wananchi wa Tunisia katika uchaguzi wa Bunge

    Ushiriki mdogo wa wananchi wa Tunisia katika uchaguzi wa Bunge

    Dec 19, 2022 09:17

    Karibu akthari ya watu waliotimiza masharti ya kupiga kura nchini Tunisia walisusia uchaguzi wa Bunge uliofanyika Jumamosi ya juzi tarehe 17 Disemba.

  • Balozi wa Afrika Kusini akosoa vikwazo vya madola ya Magharibi dhidi ya Iran

    Balozi wa Afrika Kusini akosoa vikwazo vya madola ya Magharibi dhidi ya Iran

    Nov 28, 2022 23:54

    Balozi wa Afrika Kusini nchini Iran amekosoa kuendelea vikwazo vya madola ya Magharibi dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.

  • Kusambaratika siasa za vikwazo; Marekani yapigia magoti mafuta ya Venezuela

    Kusambaratika siasa za vikwazo; Marekani yapigia magoti mafuta ya Venezuela

    Nov 28, 2022 22:57

    Baada ya kupita takriban miaka 10 ya vikwazo vikali vya Marekani dhidi ya Venezuela, hatimaye Washington imesalimu amri na imeamua kupigia magoti mafuta ya Venezuela.

  • Mbunge wa EU: Kwa nini Ulaya haikutaka Marekani iwekewe vikwazo ilipowaua Wairaqi kwa halaiki?

    Mbunge wa EU: Kwa nini Ulaya haikutaka Marekani iwekewe vikwazo ilipowaua Wairaqi kwa halaiki?

    Nov 21, 2022 22:54

    Mick Wallace, Mbunge wa Bunge la Umoja wa Ulaya amesema, umoja huo ulionyesha undumlakuwili kwa kunyamaza kimya wakati askari wa jeshi la Marekani walipowaua kwa umati raia wa Iraq.

  • Kan'ani: Kuvifungia vyombo vya habari vya Iran ni uvunjaji wa wazi wa haki za binadamu

    Kan'ani: Kuvifungia vyombo vya habari vya Iran ni uvunjaji wa wazi wa haki za binadamu

    Nov 18, 2022 07:30

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje wa Iran ameonesha hisia zake kuhusu kitendo cha nchi za Magharibi cha kuliwekea vikwazo Shirika la Sauti na Televisheni la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, IRIB.

  • Mkuu wa IRIB: Licha ya kuwekewa vikwazo, sauti ya Jamhuri ya Kiislamu itawafikia walimwengu

    Mkuu wa IRIB: Licha ya kuwekewa vikwazo, sauti ya Jamhuri ya Kiislamu itawafikia walimwengu

    Nov 16, 2022 09:08

    Mkuu wa Shirika la Utangazaji la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran (IRIB) amesema: Kanali ya Press TV inaendesha shughuli zake katika uga wa kimataifa licha ya kukabiliana na washindani wenye nguvu; na licha ya kuwekewa vikwazo, sauti ya Jamhuri ya Kiislamu itawafikia walimwengu.

  • Taasisi na shakhsia kadhaa wa EU wataongezwa kwenye orodha ya vikwazo ya Iran

    Taasisi na shakhsia kadhaa wa EU wataongezwa kwenye orodha ya vikwazo ya Iran

    Oct 25, 2022 10:04

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amedokeza kuwa karibuni hivi majina ya taasisi na shakhsia kadhaa wa nchi wanachama wa Umoja wa Ulaya yataongezwa kwenye orodha ya vikwazo ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.

  • Iran: Hatutaipatia Marekani fursa yoyote ya ziada katika mazungumzo ya uondoaji vikwazo

    Iran: Hatutaipatia Marekani fursa yoyote ya ziada katika mazungumzo ya uondoaji vikwazo

    Oct 22, 2022 09:05

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema, Iran inachukua hatua kwa kutumia mantiki na kuchunga mistari myekundu ya Mfumo wa Jamhuri ya Kiislamu na haitapatia Marekani fursa yoyote ya ziada katika mazungumzo ya uondoaji vikwazo.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS