-
Papa azilaumu Marekani na Ulaya kwa mauaji ya watu katika maeneo ya vita
Apr 07, 2019 02:20Kiongozi wa Kanisa Katoliki duniani Papa Francis amesema mashindano ya kuuza silaha yanayofanywa na Marekani na nchi za Magharibi ndiyo sababu ya mauji ya watu wakiwemo watoto wadogo katika nchi zinazoshuhudia vita katika kona mbalimbali duniani.
-
Duru mpya ya mgogoro wa kisiasa na kijeshi nchini Libya
Apr 06, 2019 21:47Katika hali ambayo, jamii ya kimataifa ilikuwa imeelekeza macho na masikio yake katika mkutano wa "mazungumzo ya kitaifa ya Libya" kwa ajili ya kufikia utatuzi wa kisiasa na kuvuka kipindi cha mgogoro wa sasa, mashambulio ya vikosi vinavyoongozwa na Jenerali Khalifa Haftar na kusonga mbele kuelekea mji mkuu Tripoli, yameitumbukiza nchi hiyo katika kipindi kipya cha mgogoro.
-
Vita katika nchi za Kiarabu vyagharimu dola bilioni 900
Mar 14, 2019 04:44Benki ya Dunia imekadiria gharama ya kuendeshea vita katika nchi za Kiarabu katika miaka minane iliyopita kuwa dola bilioni 900.
-
Zarif: Kuanzisha vita dhidi ya Iran ni sawa na kujitia kitanzi
Feb 15, 2019 21:57Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Iran amesema kuwa jitihada za aina yoyote za kutaka kuanzisha mashambulizi ya kijeshi dhidi ya Iran ni sawa na kujitia kitanzi na kujinyonga.
-
Wanaharakati 3000 wataka kususiwa mkutano dhidi ya Iran huko Poland
Jan 17, 2019 12:47Wanaharakati 3000 wanaopinga vita huko Marekani na katika nchi nyingine duniani wametia saini hati inayozitaka nchi za Ulaya kususia mkutano wa kuipiga vita Iran uliopangwa kufanyika nchini Poland.
-
Wazayuni wakiri: Jeshi la Israel halina ubavu wa kuingia katika vita vipya
Dec 14, 2018 23:10Afisa mmoja mwandamizi wa jeshi la utawala wa Kizayuni amekiri kuwa Israel haina uwezo wa kuingia kwenye vita vyengine vipya.
-
China yarudisha mapigo, yapiga marufuku simu za iPhone
Dec 12, 2018 09:02Kampuni ya Apple ya Marekani imepata pigo kubwa baada ya mahakama moja ya China kupiga marufuku uuzaji wa simu za iPhone nchini Uchina.
-
Rais wa Ukraine: Kuna uwezekano tukaingia vitani na Russia
Nov 28, 2018 12:12Sambamba na Rais Petro Poroshenko wa Ukraine kusema kuwa, Russia imeimarisha zaidi kuwepo kwake kijeshi katika mpaka wa nchi hiyo, ameeleza kuwa, kuna uwezekano kukatokea vita kamili kati ya nchi yake na Russia.
-
Utafiti: Marekani imetumia dola trilioni 6 katika vita vilivyoua watu laki 5 tangu 9/11
Nov 16, 2018 21:42Utafiti mpya umeonesha kuwa, Marekani imetumia karibu dola trilioni 6 katika vita ambavyo vimepelekea kuuawa watu nusu milioni, tangu mashambulizi ya Septemba 11.
-
Rais Bashar al-Assad: Muda si mrefu vita vitamalizika nchini Syria
Oct 03, 2018 10:17Rais Bashar al-Assad wa Syria amesema kuwa, muda si mrefu vita ilivyotwishwa nchi hiyo vitamalizika na nchi hiyo kuwa na nafasi kama iliyokuwa nayo hapo awali katika ulimwengu wa Kiarabu.