Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

vita

  • Ndege za kivita za Saudia zaua watu 15 Hudaydah, Yemen

    Ndege za kivita za Saudia zaua watu 15 Hudaydah, Yemen

    Sep 15, 2018 09:28

    Watu wasiopungua 15 wamepoteza maisha kufuatia hujuma ya ndege za kivita za Saudia katika barabara ya kistratijia inayounganisha mji mkuu wa Yemen, Sana'a na mji wa bandarini wa Hudaydah magharibi mwa nchi hiyo.

  • Ufaransa yakiri, Syria imeshinda vita vya ndani

    Ufaransa yakiri, Syria imeshinda vita vya ndani

    Sep 03, 2018 03:09

    Ufaransa na Uingereza ambazo ni nchi mbili wanachama katika Umoja wa Ulaya (EU) tangu mwaka 2011 zikiwa katika muungano wa nchi za Magharibi na za Kiarabu wa kutaka kuiondoa madarakani serikali halali ya Syria, zimekuwa zikitoa misaada ya pande zote kwa makundi ya waasi na ya kigaidi kwa shabaha eti ya kuipindua serikali ya Rais Bashar Assad.

  • Ayatullah Khatami: Marekani na waitifaki wake watapata hasara katika vita na Iran

    Ayatullah Khatami: Marekani na waitifaki wake watapata hasara katika vita na Iran

    Aug 22, 2018 03:01

    Khatibu wa Sala ya Idul Adha mjini Tehran amesema Marekani inafahamu kuwa, iwapo kutajiri vita baina yake na Iran, si tu kuwa binafsi itapata hasara, bali pia muitifaki wake mkuu yaani, utawala wa Kizayuni wa Israel nao pia utapata pigo kubwa.

  • HRW yasisitiza kuwa Marekani na Uingereza ni washirika wa jinai za Saudia dhidi ya raia wa Yemen

    HRW yasisitiza kuwa Marekani na Uingereza ni washirika wa jinai za Saudia dhidi ya raia wa Yemen

    Aug 19, 2018 03:08

    Muungano wa kijeshi unaoongozwa na Saudi Arabia umetekekeza kiwango kikubwa sana cha jinai za kivita tokea uanzishe hujuma dhidi ya Yemen mwezi Machi mwaka 2015. Jinai hizo zimetekelezwa kwa msaada mkubwa wa kisilaha, kijeshi na kijasusi kutoka kwa Marekani na Uingereza.

  • Bomu lililotumika kuua watoto Yemen liliundwa Marekani

    Bomu lililotumika kuua watoto Yemen liliundwa Marekani

    Aug 19, 2018 02:38

    Wataalamu wa silaha wamethibitisha kuwa bomu ambalo lilitumiwa na ndege za kivita za Saudia hivi karibuni kushambulia basi la shule na kuua makumi ya watoto lilitengenezwa Marekani.

  • UN Yasikitishwa na Hujuma ya Saudia dhidi ya Hospitali Yemen

    UN Yasikitishwa na Hujuma ya Saudia dhidi ya Hospitali Yemen

    Aug 04, 2018 03:42

    Afisa wa ngazi za juu wa Umoja wa Mataifa amebainisha masikitiko yake kufuatia hatua ya muungano unaoongozwa na Saudia kushambulia hospitali na soko katika mji wa Al Hudaydah nchini Yemen.

  • Kukiri kwa kuchelewa Imarati juu ya kushindwa vita Yemen na indhari ya Sana'a kwa Abu Dhabi

    Kukiri kwa kuchelewa Imarati juu ya kushindwa vita Yemen na indhari ya Sana'a kwa Abu Dhabi

    Jun 02, 2018 07:17

    Anwar Gargash, Waziri Mshauri katika Wizara ya Mambo ya Nje ya Imarati amekiri kushindwa nchi yake katika vita dhidi ya watu wa Yemen na kuongeza kuwa, mtihani wa Yemen umekuwa mgumu na bado unaendelea kuwa mgumu.

  • Kuanza vita vya kibiashara kati ya Trump na washirika wake wakuu wa kibiashara

    Kuanza vita vya kibiashara kati ya Trump na washirika wake wakuu wa kibiashara

    Jun 01, 2018 09:07

    Hatimaye Rais Donald Trump wa Marekani ameanza kutekeleza kivitendo vita vya kibiashara kati ya nchi hiyo na washirika wake wa Ulaya kwa kuziwekea ushuru mpya bidhaa za chuma cha pua na alumini (aluminiamu) zinazoingizwa nchini humo kutoka nje.

  • Ripoti: Watoto bilioni 1.2 duniani wanakabiliwa na hatari ya vita, ufakiri na ubaguzi

    Ripoti: Watoto bilioni 1.2 duniani wanakabiliwa na hatari ya vita, ufakiri na ubaguzi

    May 31, 2018 03:29

    Shirika la kimataifa lisilo la kiserikali la Save the Children limetahadharisha kuwa zaidi ya nusu ya watoto wote duniani wanakabiliwa na hatari za ufakiri, migogoro ya vita au kubaguliwa kijinsia.

  • Seneta McCain akiri kuwa vita vya Iraq vilikuwa

    Seneta McCain akiri kuwa vita vya Iraq vilikuwa "kosa kubwa" ambalo lilifanywa na Marekani

    May 27, 2018 02:44

    John McCain, seneta mwenye misimamo mikali amekiri japo kwa kuchelewa kuwa Marekani ilifanya makosa kuanzisha vita vya kuivamia kijeshi Iraq mwaka 2003.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS