-
Netanyahu na Lieberman wafutiwa kibali cha kuanzisha vita bila ya idhini ya baraza la mawaziri
May 24, 2018 22:49Baraza la Usalama la utawala wa Kizayuni wa Israel limebatilisha kibali alichokuwa amepewa waziri mkuu na waziri wa vita wa utawala huo cha kuanzisha vita dhidi ya nchi yoyote ile bila ya kupata idhini ya baraza la mawaziri.
-
Iran yaulaani vikali utawala wa kijangili wa Israel baada ya vitisho vipya
Apr 27, 2018 08:59Balozi wa Iran katika Umoja wa Mataifa amesema utawala wa Kizayuni wa Israel umethibitisha utambulisho wake wa kijangili kutokana na sera zake za "kujitanua, uvamizi na ubaguzi" ambazo ni chanzo cha migogoro yote Mashariki ya Kati.
-
Indhari ya Ufaransa juu ya kutokea vita vya ndani barani Ulaya
Apr 19, 2018 21:09Rais Emmanuel Macron wa Ufaransa amehutubia bunge la Ulaya na kutoa indhari juu ya kutokea vita vya ndani barani humo.
-
Vita vya ujasusi vya Uingereza dhidi ya Russia
Mar 29, 2018 22:06Kufuatia kufukuzwa wanadiplomasia wa Russia katika nchi 26 duniani, afisa mmoja wa ngazi ya juu wa serikali ya Uingereza ametangaza kuwa, nchi hiyo imechukua hatua isiyo na mfano na kuzipa nchi waitifaki taarifa za majasusi wake zinazohusiana na faili la kupewa sumu ya kemikali jasusi wa zamani wa Russia katika eneo la Salisbury huko kusini mwa London.
-
Kushadidi vita vya kidiplomasia vya nchi za Magharibi dhidi ya Russia
Mar 27, 2018 03:10Maria Zakharova Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Russia amesema kuwa, Marekani na Uingereza ni vinara wa uchochezi kuhusu kadhia ya Salisbury, inayomhusu Sergei Skripal jasusi wa zamani wa pande mbili aliyepewa sumu. Amesema Moscow itachukua hatua za kukabiliana na kila nchi ambayo itafuata mkumbo wa Marekani na Russia katika kuwafukuza wanadiplomasia wa Russia.
-
Korea Kaskazini: Vikwazo vipya vya Marekani dhidi yetu ni sawa na kututangazia vita
Feb 26, 2018 05:21Korea Kaskazini imesema kuwa, vikwazo vipya vya Rais Donald Trump wa Marekani dhidi ya nchi hiyo ni sawa na tangazo la vita dhidi ya Pyongyang.
-
Ukosoaji mkali wa upinzani nchini Ujerumani dhidi ya kuuziwa Saudia silaha zinazotumika kuua raia Yemen
Feb 25, 2018 09:39Mrengo wa upinzani nchini Ujerumani umekosoa vikali hatua ya nchi hiyo kuiuzia silaha za kisasa Saudi Arabia na washirika wake ambazo wanazitumia katika vita dhidi ya Yemen.
-
Kiongozi wa Wakristo wa Palestina: Hatua za karibuni dhidi ya Quds zitaifikia mpaka Makka
Dec 21, 2017 12:48Kiongozi wa kiroho wa Wakristo wa Palestina Kasisi Manuel Musallam amesema, hatua iliyochukua Marekani hivi karibuni dhidi ya Quds inalenga kuanzisha vita vya kidini ambavyo vitafika mpaka Makka.
-
Hizbullah ya Lebanon yataka mgogoro wa Yemen upatiwe ufumbuzi wa kisiasa
Dec 21, 2017 04:02Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Hizbullah ya Lebanon imetoa taarifa rasmi kwa mnasaba wa kutimia siku 1000 tangu kuanza hujuma na mashambulio ya kijeshi ya Saudia huko nchini Yemen na kutoa wito wa kutatuliwa mgogoro wa nchi hiyo kwa njia za kisiasa.
-
Marekani yakiri kuwa haiwezi kuingia kwenye vita vya kijeshi na Iran
Dec 17, 2017 04:26Waziri wa Ulinzi wa Marekani amekiri kuwa Washington haina mpango wowote wa kuanzisha vita vya kijeshi dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kutokana na tuhuma kuwa Tehran inaizatiti kwa silaha harakati ya Ansarullah ya Yemen.