-
Mabadilishano ya wafungwa na kuendelea misimamo ya Marekani dhidi ya Iran
Sep 20, 2023 02:37Kufuatia mafanikio ya kubadilishana wafungwa kati ya Iran na Marekani Jumatatu ya juzi, raia watano wa Iran ambao walifunguliwa mashtaka kinyume cha sheria na vyombo vya mahakama vya Marekani kutokana na shughuli za kawaida za kibiashara waliachiliwa huru.
-
Abbas ataka wafungwa wote wa Kipalestina waachiwe huru
Sep 17, 2023 04:37Rais Mahmoud Abbas wa Mamlaka ya Ndani ya Palestina ametaka kuachiwa huru wafungwa wote wa Kipalestina wanaoendelea kuteseka katika jela na magereza ya utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Mama wa wafungwa wa kisiasa Bahrain wajiunga na kampeni ya watoto wao ya kususia kula
Aug 30, 2023 13:29Baadhi ya akina mama wa wafungwa wa kisiasa nchini Bahrain wameanza mgomo wa kususia kula wakipinga hali mbaya ya magereza na kuwaunga mkono watoto wao.
-
Wabahrain waandamana kuwaunga mkono wafungwa waliogoma kula
Aug 19, 2023 10:20Wananchi wa Bahrain wamefanya maandamano katika miji mbalimbali ya nchi hiyo ukiwemo mji mjuu Manama, kwa shabaha ya kuwaunga mkono na kusimama pamoja na wafungwa waliogoma kula wakilalamikia hali mbaya ya jela.
-
Mapatano madhubuti ya Iran kuhusu kuachiliwa mali zake na kubadilishana wafungwa na Marekani
Aug 12, 2023 08:16Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imetoa taarifa kuhusu kuachiwa mali za Iran na pia kufunguliwa wafungwa wake kadhaa waliokuwa wamezuiliwa na Marekani kinyume cha sheria.
-
Unyanyasaji wa kinyama wa wafungwa wa Iran katika magereza ya Ulaya; ishara ya undumakuwili katika haki za binadamu
May 30, 2023 01:36Hatimaye, baada ya takriban miaka 5, Asadollah Asadi, mwanadiplomasia wa Iran aliyekuwa amezuiliwa nchini Ubelgiji, aliwasili Tehran siku ya Ijumaa. Wizara ya Mambo ya Nje ya Oman ilitangaza Ijumaa kwamba Oman ilifanikiwa kupatanisha Ubelgiji na Iran ili kutatua suala la raia waliofungwa katika nchi hizi mbili na kwamba watu wawili waliachiliwa huru na Tehran na Brussels.
-
Wafungwa sita wa Zimbabwe watoroka kizuizini Afrika Kuisini, polisi inawasaka washukiwa
Mar 14, 2023 11:41Polisi ya Afrika Kusini imetangaza kuwa imeanzisha msako wa kuwasaka washukiwa "wenye silaha nzito" ambao wamewaachilia huru wafungwa sita katika mapigano makali ya risasi.
-
Kuendelea ukandamizaji wa Aal Khalifa dhidi ya wafungwa wa kisiasa katika kukaribia mwaka wa 12 wa mapambano ya wananchi
Jan 29, 2023 02:35Katika kukaribia maadhimisho ya kutimia mwaka wa 12 wa mapambano ya wananchi wa Bahrain, utawala wa ukoo wa Aal Khalifa nchini Bahrain unawazuia wafungwa wa kisiasa nchini humo kuwasiliana na kuoana na familia zao katika fremu ya sera zake za ukandamizaji na kuwawekea mbinyo na vizingiti mbalimbali wafungwa wa kisiasa na wapinzani nchini humo.
-
Wanazuoni wa Bahrain wanaosota jela: Tunatumai Papa Francis atazungumza neno la haki
Oct 26, 2022 12:57Wanazuoni wa Bahrain wanaosota kwenye jela za utawala wa kifalme wa nchi hiyo wa ukoo wa Aal Khhalifa wameeleza katika taarifa waliyotoa kumhutubu Kiongozi wa Kanisa Katoliki duniani Papa Francis kwamba, wanatumai kiongozi huyo wa kidini atasema ukweli na kuitikia wito wa imani katika ziara yake ijayo huko Bahrain.
-
Kiongozi Muadhamu atangaza msamaha kwa wafungwa kwa mnasaba wa Maulidi ya Mtume (SAW)
Oct 13, 2022 11:46Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ameidhinisha pendekezo la kuachiwa huru au kupunguziwa vifungo wafungwa karibu 2,000 wa Kiirani, kwa mnasaba wa maadhimisho ya Maulidi ya Mtume (SAW) na kumbukumu ya mazazi ya Imam wa Ja'afar Swadiq (AS).