-
Bahrain inaongoza kwa idadi ya wafungwa wa kisiasa Uarabuni
Sep 14, 2022 07:41Kituo cha Haki za Binadamu cha Bahrain (BCHR) kimesema Bahrain inaongoza kwa kuwa na idadi kubwa zaidi ya wafungwa wa kisiasa miongoni mwa nchi zote za Kiarabu.
-
Wafungwa 1,000 wa Kipalestina watishia kuanza mgomo wa kula
Aug 30, 2022 02:32Wafungwa zaidi ya 1,000 wanaoshikiliwa katika jela na magereza ya utawala wa Kizayuni wa Israel wameonya kuwa wataanza mgomo wa kula chakula kulalamikia kukanyagwa kwa haki zao na ukandamizaji.
-
Syria yawaachia huru mamia ya wafungwa
May 04, 2022 03:10Wizara ya Sheria ya Syria imetangaza kuwa, serikali imewaachia huru mamia ya wafungwa waliokuwa wakituhumiwa kuwa na mfungamano na makundi ya kigaidi na kitakfiri na au kushiriki katika hujuma za kigaidi nchini humo.
-
Wananchi wa Bahrain wwandamana kuwaunga mkono wafungwa wa kisiasa
Nov 22, 2021 08:10Wananchi wa Bahrain wameandamana wakiwaunga mkono wafungwa wa kisiasa wa nchi hiyo na kutoa wito wa kuachiliwa huru wafungwa hao.
-
HAMAS yautaka utawala wa Saudi Arabia uwaachilie huru mahabusu wa Kipalestina
Aug 05, 2021 12:42Mkuu wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (HAMAS) ameitaka Saudi Arabia iwaachilie huru mahabusu wote Wapalestina inaowashikilia na kufunga faili lao.
-
Wananchi wa Jordan walalamikia kushikiliwa raia wa nchi hiyo katika jela za Saudi Arabia
Jun 24, 2021 12:53Familia za raia wa Jordan wanaoshikiliwa katika jela za kutisha za Saudi Arabia bila ya kufikishwa mahakamani , wamelalamikia vikali uamuzi wa Riyadh wa kuakihirisha kusikilizwa kesi za Wajordan hao. Familia hizo zimelaani hatua ya Saudia ya kurefusha muda wa kukaa korokoroni raia hao wa Jordan huko Saudia bila ya sababu yoyote.
-
Utawala wa Al Khalifa Bahrain unatumia mbinu ya utesaji kuzima mgomo wa wafungwa wanaosusia kula
May 02, 2021 12:04Vikosi vya usalama vya utawala wa Aal Khalifa vimepanga kutumia nguvu na utesaji dhidi ya wafungwa Wabahrain sambamba na kuwapiga na kuwatusi ili kuzima mgomo wa kususia kula ulioanzishwa na wafungwa hao.
-
Kaulimbiu ya "Kuporomoka Utawala wa Aal Saud" yatamba katika mitandao ya kijamii Saudi Arabia
Feb 12, 2021 11:18Wanaharakati wa mitandao ya kijamii nchini Saudi Arabia wameanzisha kampeni kubwa iliyopewa trend ya "Kuporomoka kwa Utawala wa Aal Saud".
-
Waziri Mkuu Sudan aahidi kutimiza matakwa ya Wasudan katika wiki mbili zijazo
Jul 05, 2020 14:23Waziri Mkuu wa Sudan amesema kuwa amekutana na makundi mbalimbali ya kisiasa na kijamii katika siku chache zilizopita na kupokea miito inayomtaka asahihishe mwelekeo wa serikali yake na kutimiza malengo ya mapinduzi ya Wasudani yaliyomuondoa madarakani rais wa zamani wa nchi hiyo, Omar al Bashir.
-
Asasi ya kiraia yakosoa hali mbaya ya jela za Misri
Apr 30, 2020 12:45Kwa mujibu wa kanali moja ya Kiarabu inayotoa taarifa kuhusu haki za binaadamu, ukandamizaji na virusi vya Corona vinawahangaisha wafungwa na mahabusu katika jela za Misri na kuwasumbua.