Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Waislamu

  • Amnesty International: Polisi ya India ilishirikiana na magenge ya Wahindu kuwashambulia Waislamu

    Amnesty International: Polisi ya India ilishirikiana na magenge ya Wahindu kuwashambulia Waislamu

    Aug 30, 2020 22:03

    Shirika la kutetea haki za binadamu la Amnesty International limesema jeshi la polisi la India lilifanya ukiukaji mkubwa wa haki za binadamu kwa kushirikiana na magenge ya Wahindu wenye misimamo ya kufurutu mipaka kuwashambulia Waislamu katika mji mkuu New Delhi mapema mwaka huu.

  • Katibu Mkuu wa UN aikosoa serikali ya India kwa ubaguzi inaowafanyia Waislamu wa nchi hiyo

    Katibu Mkuu wa UN aikosoa serikali ya India kwa ubaguzi inaowafanyia Waislamu wa nchi hiyo

    Aug 22, 2020 22:49

    Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres ameikosoa serikali ya India kwa ubaguzi inaowafanyia Waislamu wa nchi hiyo.

  • India yazidisha mbinyo na hatua kali za usalama eneo la Kashmir kabla ya kumbukumbu ya Agosti 5

    India yazidisha mbinyo na hatua kali za usalama eneo la Kashmir kabla ya kumbukumbu ya Agosti 5

    Aug 04, 2020 08:16

    Serikali ya India imepiga marufuku watu kutoka nje katika eneo la Kashmir na kuzidisha hatua kali za usalama kabla ya kumbukumbu ya mwaka mmoja tangu New Delhi ilipofuta mamlaka ya utawala wa ndani katika eneo hilo lenye idadi kubwa zaidi ya Waislamu.

  • Jeshi la Myanmar lajitayarisha kuwashambulia Waislamu katika jimbo la Rakhine

    Jeshi la Myanmar lajitayarisha kuwashambulia Waislamu katika jimbo la Rakhine

    Jun 29, 2020 02:29

    Jeshi la Myanmar linajitayarisha kutekeleza oparesheni mpya dhidi ya Waislamu wa jamii ya Rohingya katika jimbo la Rakhine magharibi mwa nchi hiyo jambo ambalo limepelekea maelfu ya Waislamu kuanza kuhama eneo hilo.

  • Ansarullah: Saudia na Imarati zinashirikiana na Israel dhidi ya Waislamu

    Ansarullah: Saudia na Imarati zinashirikiana na Israel dhidi ya Waislamu

    Jun 19, 2020 23:33

    Kiongozi wa harakati ya wananchi wa Yemen ya Ansarullah amezionya vikali Saudi Arabia na Umoja wa Falme za Kiarabu dhidi ya kuendeleza njama za kutaka kuufanya wa kawaida uhusiano na utawala wa Kizayuni wa Israel na kusisitiza kwamba, Riyadh na Abu Dhabi zinashirikiana na Tel Aviv ambayo inajulikana ni adui mkubwa wa ulimwengu wa Kiislamu.

  • Waislamu wa Marekani wapaza sauti kulaani ubaguzi, ukatili wa polisi

    Waislamu wa Marekani wapaza sauti kulaani ubaguzi, ukatili wa polisi

    Jun 16, 2020 03:39

    Mashirika ya Waislamu nchini Marekani yamejiunga na wimbi la malalamiko ya kuishinikiza serikali ya Washington ifanye mageuzi haraka iwezekanavyo kwa ajili ya kuondoa ubaguzi wa rangi wa kimfumo katika muundo wa polisi ya nchi hiyo.

  • Baadhi ya Waislamu katika nchi za Mashariki na Magharibi mwa Afrika wasali Iddi leo

    Baadhi ya Waislamu katika nchi za Mashariki na Magharibi mwa Afrika wasali Iddi leo

    May 23, 2020 06:12

    Baadhi ya Waislamu katika nchi kadhaa za mashariki na magharibi mwa Afrika wamesali na kusherehekea sikukuu ya Idul-Fitr, huku aghalabu ya Waislamu duniani wakitazamiwa kuadhimisha sala na sherehe hizo kesho Jumapili.

  • Tamko la Kamisheni ya Haki za Binadamu ya OIC la kulaani ukatili wanaozidi kufanyiwa Waislamu wa India

    Tamko la Kamisheni ya Haki za Binadamu ya OIC la kulaani ukatili wanaozidi kufanyiwa Waislamu wa India

    Apr 20, 2020 08:23

    Kamisheni ya Haki za Binadamu ya Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu (OIC) imelaani ukatili unaozidi kufanywa dhidi ya Waislamu wa India sambamba na kuenea maambukizo ya virusi vya corona vya COVID-19 nchini humo.

  • OIC yalaani ukatili unaozidi kufanywa dhidi ya Waislamu nchini India

    OIC yalaani ukatili unaozidi kufanywa dhidi ya Waislamu nchini India

    Apr 19, 2020 22:42

    Kamisheni ya Haki za Binadamu ya Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu (OIC) imelaani ukatili unaozidi kufanywa dhidi ya Waislamu wa India sambamba na kuenea maambukizo ya virusi vya corona vya COVID-19 nchini humo.

  • Waislamu wawasaidia madaktari na wauguzi nchini Marekani

    Waislamu wawasaidia madaktari na wauguzi nchini Marekani

    Apr 17, 2020 00:10

    Kufuatia uhaba wa vifaa vya wauhudumu wa afya katika hospitali za Marekani, Waislamu wa nchi hiyo wameunda kundi la kujitolea katika kupambana na virusi vya Corona.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS