Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Waislamu

  • Waislamu Uingereza wawasaidia wenye mahitaji wakati huu wa mripuko wa Corona

    Waislamu Uingereza wawasaidia wenye mahitaji wakati huu wa mripuko wa Corona

    Mar 19, 2020 03:58

    Waislamu nchini Uingereza, mijini na vijijini wanafanya jitihada za kukusanya bidhaa muhimu za msingi kwa ajili ya kuwasaidia watu wenye mahitaji na wasiojiweza nchini humo, katika kipindi hiki cha mripuko wa Corona.

  • Mwaka mmoja baada ya mauaji ya Waislamu New Zealand, usiri unatawala uchunguzi kuhusu mauaji hayo

    Mwaka mmoja baada ya mauaji ya Waislamu New Zealand, usiri unatawala uchunguzi kuhusu mauaji hayo

    Mar 14, 2020 22:58

    Ripoti iliyotayarishwa na gazeti la Washington Post inasema kuwa, uchunguzi wa serikali ya New Zealand wa kutaka kupata majibu yanayoweka wazi jinsi mhalifu aliyefanya mauaji ya kutisha ya Waislamu 51 waliokuwa wakitekeleza ibada misikitini, alivyoweza kufanya mauaji hayo, unaendelea kwa usiri mkubwa, jambo ambalo limezusha wasiwasi wa wachambuzi wa mambo ya jamii ya Waislamu wa New Zealand.

  • Ayatullah Hamedani alaani ukatili unaofanywa nchini India dhidi ya Waislamu

    Ayatullah Hamedani alaani ukatili unaofanywa nchini India dhidi ya Waislamu

    Mar 06, 2020 09:07

    Ayatullah Nouri Hussein Hamedani ambaye ni miongoni mwa viongozi wa juu wa kidini nchini Iran amelaani ukatili na mauaji yanayoendelea kufanywa dhidi ya Waislamu nchini India na kukosoa kimya cha vyombo vya habari duniani kuhusiana na mauaji hayo.

  • Kiongozi Muadhamu: India isitishe mauaji ya Waislamu iwapo haitaki kutengwa

    Kiongozi Muadhamu: India isitishe mauaji ya Waislamu iwapo haitaki kutengwa

    Mar 05, 2020 09:55

    Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ameitahadharisha serikali ya India dhidi ya kuendelea kutekeleza mauaji ya halaiki dhidi ya Waislamu wa nchi hiyo na kusisitiza kuwa, ukandamizaji unaoendelea kufanyiwa Waislamu katika nchi hiyo ya kusini mwa Asia utapelekea serikali ya New Delhi itengwe katika ulimwengu wa Kiislamu.

  • Zarif akosoa ukatili na ghasia zilizopangwa dhidi ya Waislamu India

    Zarif akosoa ukatili na ghasia zilizopangwa dhidi ya Waislamu India

    Mar 03, 2020 04:05

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema Jamhuri ya Kiislamu inalaani vikali ukatili na ghasia zilizoratibiwa dhidi ya Waislamu nchini India, akisisitiza kuwa njia pekee ya kutatua mgogoro uliopo ni kufuata sheria na mazungumzo ya amani.

  • Ethiopia yatambua rasmi Baraza Kuu la Waislamu baada ya juhudi za miaka 60

    Ethiopia yatambua rasmi Baraza Kuu la Waislamu baada ya juhudi za miaka 60

    Jan 26, 2020 03:40

    Baada ya juhudi za miaka 60 hatimaye Baraza Kuu la Waislamu nchini Ethiopia limetambuliwa rasmi na serikali ya Addis Ababa, suala ambalo limetajwa na wachambuzi wa mambo kuwa ni mafanikio ya kihistoria kwa wafuasi wa dini hiyo nchini Ethiopia.

  • Middle East Eye: Saudia inazidisha mashaka ya Waislamu wa Rohingya

    Middle East Eye: Saudia inazidisha mashaka ya Waislamu wa Rohingya

    Jan 07, 2020 23:18

    Kituo cha habari cha Middle East Eye kimeripoti kuwa, Saudi Arabia inazidisha mashaka na masaibu ya Waislamu wa jamii ya Rohingya huko Myanmar kwa kuwasaka, kuwakamata na kuwafukuza Warohingya wanaofanya kazi nchini humo.

  • Umoja wa Mataifa wailaani Myanmar kwa kuwandamiza Waislamu Warohingya

    Umoja wa Mataifa wailaani Myanmar kwa kuwandamiza Waislamu Warohingya

    Dec 28, 2019 23:23

    Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa limepasisha azimio ambalo linailaani vikali Myanmar kwa ukiukwaji mkubwa wa haki za binadamu dhidi ya Waislamu wa jamii ya Rohingya na jamii za wengine waliowachache katika nchi hiyo ya Mabuddha.

  • Mahathir Mohammad.: Malaysia itawapa hifadhi wakimbizi wa Uyghur kutoka China

    Mahathir Mohammad.: Malaysia itawapa hifadhi wakimbizi wa Uyghur kutoka China

    Dec 27, 2019 09:14

    Waziri Mkuu wa Malaysia Mahathir Mohammad amesema kuwa nchi yake haitawarejesha makwao Waislamu wa jamii ya Uyghur kutoka China iwapo wataomba hifadhi nchini humo.

  • Maandamano yashtadi nchini India kufuatia kupitishwa muswada ulio dhidi ya Waislamu

    Maandamano yashtadi nchini India kufuatia kupitishwa muswada ulio dhidi ya Waislamu

    Dec 14, 2019 21:42

    Maandamano ya kupinga muswada wa uraia nchini India na ambao uko dhidi ya Waislamu, yameendelea kupanua wigo wake ambapo baada ya majimbo ya kaskazini mashariki, pia yamesambaa katika maeneo mengine kama vile Uttar Pradesh, Bihar na New Delhi.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS