-
Nchi za Kiislamu zalaani kuvunjiwa heshima tena Qurani Uholanzi
Jan 25, 2023 11:48Mataifa na jumuiya za Kiislamu kote duniani zimelaani kitendo cha kuvunjiwa heshima Qurani Tukufu nchini Uholanzi, siku chache baada ya kutokea uafriti mwingine wa kukichoma Kitabu hicho Kitakatifu cha Waislamu nchini Sweden.
-
Maulamaa wa India wakosoa hatua za serikali ya Modi dhidi ya Waislamu
Oct 16, 2022 02:25Jumuiya ya maulamaa wa Kiislamu wa India imewataka viongozi wa nchi hiyo katika jimbo la Utta Pradesh wakomeshe kile ilichokiita "hatua ya upande mmoja" dhidi ya Waislamu.
-
Waislamu London walaani kuvunjiwa heshima thamani za Kiislamu
Oct 02, 2022 07:38Waislamu wanaoishi London, mji mkuu wa Uingereza wamefanya maandamano ya kulalamikia vitendo vya kuvunjiwa heshima thamani za Kiislamu na chokochoko dhidi ya Mapinduzi ya Kiislamu.
-
Kushadidi ubaguzi dhidi ya Waislamu nchini Uingereza; kielelezo cha chuki dhidi ya Uslamu barani Ulaya
Sep 16, 2022 04:01Katika muendelezo wa ubaguzi dhidi ya Waislamu wanaoishi nchini Uingereza, vyombo vya habari vimeripoti wiki hii juu ya kuweko mpango wa kupokonywa uraia wa nchi hiyo Waislamu wanaoishi nchini Uingereza na kutangazwa kuwa raia wa daraja la pili.
-
Kupenda vita Marekani duniani; urithi wa tukio la Septemba 11
Sep 12, 2022 08:21Jumapili ya jana tarehe 11 Septemba ilisadifiana na kutimia miaka 21 tangu kutokea mashambulio ya kigaidi ya Septemba 11 ambapo hadi sasa Marekani ingali imeshughulishwa na matokeo ya tukio hili lenye kuainisha hatima.
-
Hujuma za chuki dhidi ya Waislamu Canada zaongezeka kwa 71%
Aug 05, 2022 10:52Jinai zinazotokana na chuki dhidi ya Uislamu na Waislamu zimeongezeka kwa kiwango cha kutisha nchini Canada.
-
Licha ya hukumu ya mahakama, mwandishi Muislamu mkosoaji wa serikali ya India aendelea kusota rumande
Jul 17, 2022 02:14Mohammed Zubair, mwandishi wa habari Muislamu raia wa India, ambaye ni mkosoaji wa waziri mkuu wa nchi hiyo Narendra Modi, ameendelea kuwekwa kizuizini licha ya kutolewa hukumu na mahakama ya kuamuru aachiliwe huru.
-
Hatibu wa Swala ya Ijumaa Tehran: Ghadir ni suala la kipekee katika historia ya mwanaadamu
Jul 15, 2022 11:29Hatibu wa Swala ya Ijumaa ya leo mjini Tehran amesema: Suala la Ghadir ni kadhia ya kipekee katika historia ya mwanaadamu, na Mwenyezi Mungu hajalipa tukio lolote lile umuhimu mkubwa kuliko tukio la Ghadir Khum.
-
Msikiti washambuliwa New York katika hujuma ya chuki dhidi ya Uislamu
Jul 13, 2022 03:46Msikiti mmoja umevunjiwa heshima mjini New York, huo ukiwa ni muendelezo wa vitendo vya chuki dhidi ya Uislamu na Waislamu nchini Marekani.
-
Baadhi ya Waislamu waswali Iddi leo, wengine kuadhimisha sikukuu hii kesho
Jul 09, 2022 04:09Baadhi ya Waislamu katika nchi kadhaa duniani wanaswali na kusherehekea sikukuu ya Idul Adh'ha hii leo, huku wengine wakitazamiwa kuadhimisha sherehe hizo kesho Jumapili.