Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Waislamu

  • Mahakama ya Juu ya India yamtaka msemaji wa zamani wa chama tawala kuomba radhi kwa kumvunjia heshima Mtume Muhammad (saw)

    Mahakama ya Juu ya India yamtaka msemaji wa zamani wa chama tawala kuomba radhi kwa kumvunjia heshima Mtume Muhammad (saw)

    Jul 02, 2022 07:56

    Mahakama ya Juu ya India imemtaka msemaji wa zamani wa chama tawala nchini India cha Bharatiya Janata kinachoongozwa na Waziri Mkuu, Narendra Modi, Nupur Sharma, kujitokeza kwenye televisheni na kuomba radhi kwa taifa zima la India, baada ya matamshi yake ya kumvunjia heshima Mtume Muhammad (saw) ambayo yameisababisha maandamano makubwa na kuchochea hali ya mvutano nchini humo.

  • Twitter yaungana na serikali ya India kuwakandamiza Waislamu, yafunga akaunti za watetezi wao

    Twitter yaungana na serikali ya India kuwakandamiza Waislamu, yafunga akaunti za watetezi wao

    Jun 28, 2022 13:30

    Waandishi wa habari na wanaharakati wamepinga ongezeko la hatua za serikali ya India ikishirikiana na mtandao wa kijamii wa Twitter za kuwabana watu mashuhuri wanaowatetea Waislamu na kuunga mkono harakati za maandamano yanayopinga ukandamiza wa serikali ya New Delhi dhidi ya wafuasi wa dini hiyo.

  • Wanazuoni wa Kiislamu wataka sheria ya kupiga marufuku kutukanwa matukufu ya kidini

    Wanazuoni wa Kiislamu wataka sheria ya kupiga marufuku kutukanwa matukufu ya kidini

    Jun 20, 2022 04:20

    Muungano wa Kimataifa wa Wanazuoni wa Kiislamu (IUMS) umetoa mwito wa kupasishwa sheria ya kujinaisha na kupiga marufuku kuvunjiwa heshima matukufu ya dini mbalimbali duniani.

  • Nigeria: Ulimwengu wa Kiislamu ushikamane kuangamiza fikra ya ukufurishaji

    Nigeria: Ulimwengu wa Kiislamu ushikamane kuangamiza fikra ya ukufurishaji

    Jun 11, 2022 07:27

    Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Nigeria amesema kuwa, nchi za Kiislamu na Waislamu wote kwa ujumla wanapaswa kuungana na kuwa kitu kimoja katika vita vya kuangamiza fikra potofu ya ukufurishaji.

  • Waislamu wa Marekani walitoa msaada wa dola bilioni 1.8 mwaka 2021 licha ya kuongezeka chuki dhidi ya Uislamu

    Waislamu wa Marekani walitoa msaada wa dola bilioni 1.8 mwaka 2021 licha ya kuongezeka chuki dhidi ya Uislamu

    Apr 27, 2022 03:49

    Utafiti wa hivi karibuni umebaini kuwa Waislamu wa Marekani walitoa msaada wa dola bilioni 1.8 mwaka 2021, mwaka huo huo ambao ulishuhudia ongezeko kubwa la visa vya ubaguzi na unyanyasaji dhidi ya wafuasi wa dini hiyo ya Mwenyezi Mungu.

  • Waislamu wa India wapeleka mahakamani mabuldoza hatari ya kisiasa

    Waislamu wa India wapeleka mahakamani mabuldoza hatari ya kisiasa

    Apr 18, 2022 13:07

    Jumuiya mashuhuri ya Kiislamu imewasilisha ombi katika Mahakama Kuu ya India, ikiitaka kuingilia kati baada ya matingatinga na serikali kuharibu mali na milki za Waislamu wanaotuhumiwa kuhusika na ghasia katika majimbo yanayoongozwa na chama cha Waziri Mkuu, Narendra Modi cha Bharatiya Janata Party (BJP).

  • Waislamu 5 wajeruhiwa kwa kupigwa risasi msikitini nchini Canada

    Waislamu 5 wajeruhiwa kwa kupigwa risasi msikitini nchini Canada

    Apr 17, 2022 07:59

    Watu watano wamejeruhiwa baada ya kushambuliwa kwa risasi na wahalifu wasiojulikana nchini Canada, huku vitendo vya chuki dhidi ya Uislamu na Waislamu vikionekana kushtadi nchini humo.

  • Waislamu India wakasirishwa na uamuzi wa mahakama ulioidhinisha matamshi ya chuki

    Waislamu India wakasirishwa na uamuzi wa mahakama ulioidhinisha matamshi ya chuki

    Mar 30, 2022 11:48

    Wimbi la kejeli na hasira limetanda katika mitandao ya kijamii nchini India baada ya mahakama kufunga kesi dhidi ya wanasiasa wawili waliotoa matamshi ya kichochezi dhidi ya Waislamu, ikisema kuwa uchochezi si kauli za chuki ukiambatana na tabasamu.

  • Waislamu wapinga mahakamani marufuku ya vazi la hijabu shuleni India

    Waislamu wapinga mahakamani marufuku ya vazi la hijabu shuleni India

    Mar 30, 2022 07:05

    Wanaharakati wa mawakili wa Kiislamu nchini India wameenda katika Mahakama ya Kilele ya jimbo la Kusini mwa India la Karnataka, kuukatia rufaa uamuzi wa Mahakama ya Juu kuidhinisha marufuku ya vazi la hijabu katika shule na vyuo vikuu vya jimbo hilo.

  • Radiamali za shambulio la kigaidi la Peshawar, Pakistan

    Radiamali za shambulio la kigaidi la Peshawar, Pakistan

    Mar 06, 2022 08:22

    Shambulio la kigaidi lililolenga Msikiti wa Waislamu wa Kishia mjini Peshawar Pakistan linaendelea kulaaniwa na pande mbalimbali ulimwenguni.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS