-
Muigizaji wa India akamatwa kwa kutoa maoni kuhusu kesi ya marufuku ya hijabu
Feb 25, 2022 03:19Muigizaji na mwanaharakati wa India, Chetan Kumar Ahimsa amekamatwa na polisi kwa madai ya kuchapisha ujumbe wa Twitter akimkosoa mmoja wa majaji wanaosikiliza maombi ya kupigwa marufuku vazi la hijabu mashuleni.
-
Maandamano ya kulaani marufuku ya hijabu shuleni yaenea kote India
Feb 14, 2022 03:21Maandamano ya kulaani hatua ya skuli kadhaa katika jimbo la Karnataka kusini mwa India kuwazuia wasichana Waislamu wanaovaa hijabu wasiingie madarasani kwa kisingizio cha kutekeleza amri ya wizara ya elimu ya jimbo hilo, yameenea katika pembe mbalimbali za nchi hiyo ya Asia.
-
Chuo kingine India chazuia wanafunzi Waislamu kuvaa Hijabu
Feb 05, 2022 04:36Katika kile kinachoonekana ni kuendelea kuendekeza misimamo ya chuki na kufurutu ada ya serikali ya waziri mkuu wa India Narendra Modi, wanafunzi Waislamu wanaovaa hijabu wamepigwa marufuku kuingia madarasani katika chuo kimoja katika jimbo la Karnataka, kusini mwa India.
-
Mgombea urais Ufaransa kupiga marufuku majina ya "Muhammad", misikiti na vazi la hijabu
Jan 26, 2022 04:14Mgombea mwenye siasa kali za mrengo wa kulia katika uchaguzi wa rais wa Ufaransa, Éric Zemmour, ametangaza ajenda na mipango yake kuhusu dini ya Kiislamu, ambayo amesema ataitekeleza iwapo ataingia Ikulu ya Elysee.
-
Kufichuliwa upeo mpya wa ubaguzi dhidi ya Waislamu nchini Uingereza
Jan 25, 2022 02:27Kadhia ya chuki dhidi ya Uislamu na kubaguliwa Waislamu katika nchi za Ulaya ikiwemo Uingereza imeshika kasi katika miaka ya hivi karibuni. Chuki hizi dhidi ya Uislamu sasa zimefika hata katika ngazi rasmi za serikali.
-
Serikali ya Uingereza yaagiza uchunguzi ufanyike kuhusu madai ya waziri wa zamani Muislamu aliyefutwa kazi
Jan 24, 2022 12:26Waziri Mkuu wa Uingereza Boris Johnson ameamuru uchunguzi ufanyike kuhusu madai ya waziri wa zamani Muislamu aliyesema kwamba alifutwa kazi katika serikali yake kwa sababu ya imani yake ya Kiislamu.
-
Waislamu Afrika Kusini wataka kulindwa turathi za kale Cape Town
Jan 16, 2022 08:05Wanaharakati wa Kiislamu katika wilaya ya Bo-Kaap jijini Cape Town nchini Afrika Kusini wametoa mwito wa kulindwa na kuhifadhiwa turathi na athari za kale hususan za kidini katika eneo hilo ambalo aghalabu ya wakazi wake ni Waislamu.
-
Wito wa Wahindu wa kutekelezwa mauaji ya kimbari dhidi ya Waislamu waibua hasira
Dec 25, 2021 04:32Video zinazowaonyesha viongozi wa kidini wa Kihindu nchini India wakitoa wito wa mauaji ya halaiki dhidi ya Waislamu zimezua hasira na wito madai ya kuchukuliwa hatua dhidi ya wahusika.
-
Makaburi ya Waislamu Ufaransa yabomolewa na makundi yenye misimamo mikali
Dec 13, 2021 07:29Chuki dhidi ya Waislamu nchini Ufaransa zinazidi kuongezeka baada ya makaburi ya Waislamu kushambuliwa na makundi yenye misimamo ya kufurutu mpaka.
-
Viongozi wa Kiislamu Kenya: Visa vya kupotezwa washukiwa vimeongezeka
Sep 13, 2021 11:09Viongozi wa Kiislamu nchini Kenya wameishutumu serikali kwa kuongezeka kwa visa vya kupotezwa washukiwa wa ugaidi nchini humo.