-
UNHCR yatahadharisha kuhusu mgogoro wa binadamu Somaliland, maelfu wanakimbilia Ethiopia
Mar 09, 2023 11:00Karibu watu laki moja wanaokimbia mapigano huko Somaliland; eneo lililojitenga kaskazini mwa Somalia, kwa muda wa mwezi mmoja sasa wamepewa hifadhi katika eneo moja nchini Ethiopia. Raia hao wa Somaliland wamekimbia huko licha ya eneo hilo kuathiriwa na ukame mkubwa. Hayo yameelezwa na Shirika la Kuhudumia Wakimbizi la Umoja wa Mataifa (UNHCR).
-
UNHCR: Dola bilioni 1.3 zinahitajika kusaidia wakimbizi wa Sudan Kusini
Feb 22, 2023 13:22Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Wakimbizi, UNHCR, pamoja na mashirika 108 ya utoaji wa misaada ya kibinadamu wametoa ombi la dola bilioni 1.3 ili kusaidia wakimbizi kutoka Sudan Kusini na jamii zinazowahifadhi katika Jamhuri ya kidemokrasia ya Congo, DRC, Ethiopia, Kenya, Sudan na Uganda.
-
Wakimbizi wa DRC nchini Rwanda wakosoa kimya cha jamii ya kimataifa
Dec 13, 2022 07:16Maelfu ya wakimbizi raia wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo walioko nchini Rwanda wameikosoa jamii ya kimataifa kwa kufumbia macho mauaji yanayoendelea kufanywa na magenge ya waasi mashariki mwa DRC.
-
Mpango wa UK wawaacha bila makazi wahanga wa mauaji ya kimbari Rwanda
Sep 01, 2022 07:36Wahanga wa mauaji ya kimbari nchini Rwanda waliofurushwa katika mabweni walikokuwa wakiishi kutokana na mpango tata wa wakimbizi wa Uingereza, wanalalamika kuwa wameachwa bila pahala pa kuishi, licha ya mabweni hayo kusalia bila watu.
-
Gavana wa Texas: Biden ndiye wa kulaumiwa kwa "janga la kutisha la wahajiri" nchini Marekani
Jun 28, 2022 09:56Gavana wa Texas nchini Marekani amemlaumu Rais Joe Biden wa nchi hiyo kuwa ndiye wa kulaumiwa kwa vifo vya makumi ya wahajiri ambao miili yao imepatikana ikiwa imetelekezwa katika lori kwenye jimbo hilo.
-
Vita vimewatenganisha mamia ya watoto na familia zao DRC
Jun 26, 2022 11:18Shirika la Msalaba Mwekundu nchini Uganda limesema mamia ya watoto wamelazimika kutengana na wazazi na jamaa zao kutokana na mapigano huko mashariki ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.
-
Kufuta Uingereza safari ya kwanza ya ndege ya kuwahamishia kwa lazima wakimbizi nchini Rwanda
Jun 17, 2022 02:17Katika hali ambayo, viongozi wa Uingereza wanang'ang'ania msimamo wao wa kuhamishia nchini Rwanda wakimbizi wanaoomba hifadhi nchini humo, safari ya kwanza ya ndege ambayo ilikusudiwa na Uingereza kuwasafirisha kwa lazima wakimbizi na kuwapeleka nchini Rwanda, imeakhirishwa.
-
UNHCR: Sera ya Uingereza ya kuhamishia watafuta hifadhi Rwanda si sahihi
Jun 14, 2022 07:57Mkuu wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Wakimbizi UNHCR Filippo Grandi, ametupilia mbali uamuzi wa serikali ya Uingereza wa kuwahamishia Rwanda watafuta hifadhi wanaokwenda nchini humo huku akisema makubaliano hayo ya kando kati ya nchi mbili hizo ni makosa.
-
Kuendelea vitendo visivyo vya kibinadamu vya madola ya Ulaya dhidi ya wahajiri
Jun 12, 2022 02:33Baada ya serikali ya Uingereza kuchukua uamuzi wa kuwahamishia nchini Rwanda wakimbizi wanaoomba hifadhi nchini Uingereza, sasa mahakama ya nchi hiyo nayo imeunga mkono na kuidhinisha uamuzi huo.
-
Vigezo vya nyuso mbili vya nchi za Ulaya katika suala la wakimbizi
May 19, 2022 02:12Huku mgogoro wa kiuchumi na kisiasa ukiendelea katika baadhi ya nchi za Asia na huku vita baina ya Ukraine na Russia navyo vikiendelea, wimbi la wakimbizi katika mipaka ya nchi za Ulaya nalo limeongezeka.