-
UNRWA: Hali mbaya ya kibinadamu ya Ghaza haiwezi kutatuka bila ya kusimamishwa vita
Aug 01, 2025 07:17Mshauri wa vyombo vya habari wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Wakimbizi wa Kipalestina UNRWA amesisitiza kuwa, haiwezekani kutatua hali mbaya ya kibinadamu katika Ukanda wa Ghaza bila ya kusitishwa mapigano.
-
Israel yashambulia kwa mabomu makazi ya wakimbizi wa Kipalestina Gaza
Oct 01, 2024 06:24Ndege za kivita za utawala wa Kizayuni zimeshambulia kwa mabomu shule ya makazi ya Wapalestina katika mji wa Gaza.
-
Jeshi la Kizayuni lakiri kushambulia skuli ya UNRWA Ghaza na kuua Wapalestina 32 wakiwemo watoto
Jun 06, 2024 06:51Jeshi la anga la utawala wa Kizayuni wa Israel alfajiri ya kuamkia leo limeshambulia kwa makombora skuli ya Umoja wa Mataifa katika kambi ya Nuseirat katikati mwa Ukanda wa Ghaza na kuwaua shahidi Wapalestina wasiopungua 32 wakiwemo watoto na wanawake na kujeruhi makumi ya wengine.
-
Indhari ya UNRWA kuhusu kuongezeka umaskini miongoni mwa wakimbizi wa Kipalestina
Nov 16, 2022 10:55Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Wakimbizi wa Palestina (UNRWA) limetahadharisha kuhusu kuongezeka kwa kiasi kikubwa umaskini miongoni mwa wakimbizi wa Kipalestina huko Syria, Lebanon na Ukanda wa Ghaza.
-
UNRWA: Ufukara unazidi kuongezeka kwa wakimbizi Wapalestina walioko Syria, Lebanon na Gaza
Nov 16, 2022 01:04Shirika la Umoja wa Mataifa la Misaada na Kazi kwa ajili ya Wakimbizi Wapalestina UNRWA limetahadharisha juu ya kuzidi kuongezeka ufukara kwa wakimbizi Wapalestina walioko Syria, Lebanon na Ukanda wa Gaza.
-
Radiamali kwa njama za Marekani dhidi ya wakimbizi Wapalestina katika fremu ya 'Muamala wa Karne'
Aug 01, 2018 16:53Saeb Erekat Katibu wa Kamati ya Utendaji ya Harakati ya Ukombozi wa Palestina, PLO, amelaani uamuzi wa bunge la Senate la Marekani wa kupitisha sheria mpya ambayo inawatambua wakimbizi 40 elfu tu wa Palestina.
-
Udharura wa dunia kuzingatia kadhia ya wakimbizi wa Palestina
Jun 20, 2018 13:36Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina, HAMAS, imesisitiza kuwa, jukumu la kutetea haki zote za kisiasa na kifedha za wakimbizi Wapalestina ni la jamii ya kimataifa na hasa Umoja wa Mataifa.
-
HAMAS yamuomba msaada Sayyid Hassan Nasrullah kuhusu wakimbizi wa Palestina
Jun 16, 2018 16:09Mkuu wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Mambano ya Kiislamu ya Palestina (HAMAS), Ismail Haniya amemtumia ujumbe Katibu Mkuu wa harakati ya Hizbullah ya Lebanon, akimuomba msaada kwa ajili ya kutatuliwa matatizo ya wakimbizi wa Kipalestina hususan wale walioko katika kambi ya wakimbizi ya Ain al-Hilweh.
-
Udharura wa kutatuliwa haraka mgogoro wa wakimbizi wa Palestina
Apr 12, 2017 08:05Kamishna wa Wakala wa Umoja wa Mataifa wa Misaada na Kazi kwa Wakimbizi wa Palestina UNRWA umetaka mgogoro wa wakimbizi wa Palestina walioenea katika kona zote za dunia, utatuliwe haraka.