-
Ukosoaji mkali wa Askofu Mkuu wa Baitul-Muqaddas dhidi ya siasa za utawala wa Kizayuni za kuiyahudisha Quds
Mar 12, 2019 02:46Atallah Hanna, Askafu Mkuu wa Kanisa la Orthodox katika mji wa Baitul-Muqaddas, amesisitiza kwamba mradi wa utawala haramu wa Israel wa kuuyahudisha mji wa Quds, ni jinai kubwa.
-
Viongozi wa Kikristo mjini Quds wakosoa ubaguzi wa Netanyahu
Nov 06, 2018 08:00Wakuu wa Kanisa Katoliki katika mji wa Quds tukufu unaokaliwa kwa mabavu na utawala haramu wa Israel wamemuandikia barua Waziri Mkuu wa utawala huo ghasibu wakikosoa misimamo yake ya kibaguzi.
-
Waislamu Marekani waendesha mchango wa kuwasaidia Mayahudi waliouliwa kigaidi na Mkristo Robert Bowers
Oct 29, 2018 14:27Jumuiya ya Waislamu wa Marekani imefanikiwa kukusanya mchango wa makumi ya maelfu ya dola katika juhudi zao za kuwasaidia wahanga wa shambulizi la kigaidi lililotokea katika hekalu la Kiyahudi la mjini Pittsburgh na kuua watu 11 na kujeruhi wengine sita.
-
Njama za utawala wa Kizayuni wa Israel za kuwatimua Wakristo kutoka Quds Tukufu
Feb 04, 2018 08:06Baraza la Kiislamu-Kikristo la Kuunga Mkono Quds Tukufu (Jerusalem) limetangaza kuwa, utawala wa Kizayuni wa Israel unatekeleza njama za kuwatimua Wakristo kutoka Quds ili kubadilisha muundo wa kijamii wa mji huo uwe ni aghalabu wa Mayahudi.
-
Askofu wa Waarmenia Tehran: Wakristo hawaitambui Israel
Dec 26, 2017 04:28Askofu wa Kanisa la Armenia mjini Tehran amesisitiza kuwa, Wakristo hawatambui serikali inayojiita Israel.
-
Mchungaji Sizer: Wakristo wanafanya kosa kubwa kuiunga mkono Israel
Nov 18, 2017 15:20Mchungaji wa Kanisa la Anglikana la nchini Uingereza amesema kuwa, Wakristo wa nchi za Magharibi wanafanya kosa kubwa kuamini kuwa kuuunga mkono utawala wa Kizayuni wa Israel ni jukumu lao la kidini.
-
Kiongozi wa Kikristo Palestina awataka Wakristo na dunia kuzuia uvamizi wa Wazayuni wa Israel
Jul 19, 2017 14:03Kiongozi wa Kikristo wa kanisa la Orthodox huko Palestina Atallah Hanna, ameomba msaada wa haraka kutoka kwa Wakristo na taasisi za kutetea haki za binaadamu duniani, kuzuia uvamizi wa Wazayuni wa Israel huko Quds.
-
Wakristo Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo wana hamu na shauku ya kujifunza Qur'ani
Apr 27, 2017 16:05Haafidh wa Qur'ani tukufu kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo amesema Wakongomani wana hamu na shauku kubwa ya kujifunza Uislamu kiasi kwamba Wakristo wa nchi hiyo wanawapeleka watoto wao madrasa ili wakasomeshwe Qur'ani.
-
Mufti wa Misri: Fatwa 3000 zimetolewa kupinga kuishi pamoja Waislamu na Wakristo
Apr 01, 2017 16:25Mufti wa Misri amesema kuwa asilimia 90 ya hukumu na fatwa za watu wanaofurutu ada zinawachochea watu kwenda kinyume na maamrisho ya Mwenyezi Mungu na kuzusha mifarakano baina ya Waislamu na Wakristo.
-
Hakuna anayesalimika na mashambulizi ya magaidi nchini Misri
Mar 07, 2017 04:31Makumi ya familia za Wakristo zimelazimika kukimbia makazi yao katika mkoa wa Sinai Kaskazini nchini Misri kutokana na mashambulizi ya watu wenye silaha.