-
Mali inachunguza tuhuma kuwa askari wake wameuwa raia
Mar 01, 2018 01:06Serikali ya Mali imesema kuwa inachunguza tuhuma zilizotolewa na chama cha upinzani nchini humo kuwa jeshi la nchi hiyo liliwateka nyara na kuwauwa raia saba katikati mwa nchi hiyo wiki iliyopita.
-
Watoto waliotumiwa vitani Kongo wazawadiwa fidia ya dola milioni 10
Dec 15, 2017 13:46Majaji wa Mahakama ya Kimataifa ya Makosa ya Jinai (ICC) yenye makao yake mjini The Hague, Uholanzi leo wamewapatia fidia ya dola milioni kumi watoto waliosajiliwa kama askari nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo ya mbabe wa kivita Thomas Lubanga.
-
Uganda yakadhibisha kutuma wanajeshi wake huko Kenya
Aug 14, 2017 22:01Serikali ya Uganda imekadhibisha madai kuwa ina nia ya kutuma wanajeshi wake huko Kenya ili kusaidia polisi wa nchi hiyo katika oparesheni za kulinda usalama baada ya kumalizika uchaguzi mkuu nchini humo.
-
Oparesheni ya jeshi la Somalia na kikosi cha AU dhidi ya al Shabab
Nov 19, 2016 08:29Wanamgambo kadhaa wa kundi la al Shabab lenye makao yake huko Somalia wameuawa kusini mwa nchi hiyo kufuatia oparesheni iliyofanywa na wanajeshi wa Somalia na askari wa kulinda amani wa Umoja wa Afrika katika eneo moja kaskazini mashariki mwa bandari ya Kismayo, kusini mwa nchi hiyo.
-
EU kupunguza ufadhili kwa askari wa Burundi walioko Somalia
Mar 29, 2016 11:14Umoja wa Ulaya unapanga kupunguza ufadhili wake kwa askari wa Burundi ambao ni miongoni mwa wanajeshi wa Kikosi cha Umoja wa Afrika nchini Somalia AMISOM.