-
Ripoti: Askari wasiopungua sita wa jeshi la Israel wamejiua katika miezi ya karibuni
Nov 23, 2024 06:39Askari wasiopungua sita wa jeshi la utawala wa Kizayuni wa Israel wameripotiwa kujiua katika miezi ya hivi karibuni, kutokana na matatizo ya kisaikolojia yaliyosababishwa na vita vya muda mrefu dhidi ya Ghaza na Lebanon.
-
Wanamuqawama wa al Qassam wawaangamiza wanajeshi 15 wa Kizayuni
Nov 11, 2024 02:38Brigedi za Izzuddin al Qassam, tawi la kijeshi la Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) zimetangaza kuwa wanamuqawama wamewaangamiza wanajeshi 15 wa Israel katika Ukanda wa Gaza.
-
Askari 7 wa Israel waangamizwa, 49 wajeruhiwa katika mapigano na wanamuqawama wa Hizbullah
Oct 17, 2024 03:26Askari wasiopungua saba wa jeshi la utawala wa Kizayuni wa Israel wameripotiwa kuangamizwa katika mapigano na harakati ya Muqawama ya Hizbullah ya Lebanon kwenye mpaka wa kusini wa nchi hiyo na ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu zilizopachikwa jina bandia la Israel.
-
Netanyahu asema, atawatoa kafara mateka Waisraeli lakini jeshi la Kizayuni libaki Philadelphi
Sep 01, 2024 10:15Waziri Mkuu mshupalia vita wa utawala wa Kizayuni wa Israel Benjamin Netanyahu amemueleza waziri wake wa vita Yoav Gallant kwamba anafadhilisha jeshi la Israel libaki kwenye Ukanda wa Philadelphi (Mhimili wa Saladin) kuliko kuokoa maisha ya mateka ambao wangali wanashikiliwa katika Ukanda wa Ghaza.
-
HAMAS: Tumeangamiza askari 12 wa Israel katika 'operesheni tata' Jabalia, Ghaza
May 16, 2024 07:25Izzuddin-al Qassam, Tawi la Kijeshi la Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS imetangaza kuwa wapiganaji wake wamewaangamiza wanajeshi 12 wa Israel katika eneo lililozingirwa la kaskazini mwa Ghaza.
-
Wanajeshi 18 wa utawala haramu wa Israel waangamizwa katika operesheni ya ardhini Gaza
Nov 03, 2023 04:13Jeshi la utawala haramu wa Israel limetangaza kuwa, wanajeshi wake 18 wameuawa na wengine wanne kujeruhiwa vibaya katika operesheni yao ya ardhini huko Gaza Plestina.
-
Kan'ani: Sauti ya Kushindwa Wazayuni imesikiwa na walimwengu
Oct 11, 2023 12:37Msemaji wa Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Iran amesema kuwa mauaji yanayofanywa na wanajeshi wa utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya waandishi wa habari hayatazuia kufichuliwa ukubwa wa kushindwa kwa utawala huo na jinai zake na kuongeza kuwa: Msingi unaolegalega wa utawala dhalimu na bandia wa Israel unatetereka zaidi, na sauti za kufeli na kushindwa kwake kijeshi na kijasusi imefika kwenye masikio ya walimwengu.
-
Maandamano ya wapinzani wa mageuzi ya mahakama yazidi kuiteteresha serikali ya Netanyahu
Jul 19, 2023 08:00Wapinzani wa mpango wa Benjamin Netanyahu Waziri Mkuu wa utawala haramu wa Israel wa kufanyia mageuzi mfumo wa mahakama wameendelea kuandamana na kuzidi kutishia uhai wa serikali ya Netanyahu na washirika wake.
-
Wazayuni waushambulia tena Msikiti wa al-Aqsa
Jun 15, 2023 11:31Askari wa utawala haramu wa Israel na walowezi wa Kizayuni wameshambulia tena Msikiti Mtukufu wa al-Aqsa.
-
Ripoti: Zaidi ya Wazayuni 200 wakiwemo wanajeshi waliangamizwa mwaka uliopita
Apr 23, 2023 01:31Duru za Kizayuni zimetangaza kuwa, zaidi ya Wazayuni 200 waliangamizwa katika mwaka uliopita (2022) katika ardhi za palestina zinazokaliwa kwa mabavu ambazo zimepachikwa jina bandia la Israel.