-
Imam Khamenei: Taifa la Iran limevunja mgongo wa fitina kwa umoja/ Lengo la Marekani ni kuimeza Iran
Jan 18, 2026 04:43Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu, Ayatullah Sayyid Ali Khamenei, amesema Iran inamtambua Rais wa Marekani, Donald Trump, kama mhusika mkuu wa mauaji na uharibifu katika ghasia za hivi karibuni hapa nchini.
-
Imam Khamenei: Taifa la Iran limevunja mgongo wa fitina kwa umoja/ Lengo la Marekani ni kuimeza Iran
Jan 17, 2026 13:45Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu, Ayatullah Sayyid Ali Khamenei, amesema Iran inamtambua Rais wa Marekani, Donald Trump, kama mhusika mkuu wa mauaji na uharibifu katika ghasia za hivi karibuni hapa nchini.
-
Askari 20 wa Kizayuni waaangamizwa katika muda wa mwezi mmoja pekee
Jul 03, 2025 04:30Gazeti la Kizayuni la Yediot Aharonot limeandika katika ripoti yake kuwa: Mwezi uliopita wa Juni Israel imeshuhudiwa kuawa idadi kubwa ya wanajeshi wake huko Gaza mwaka huu.
-
Hamas yaapa: Tutaendelea kuwaua wanajeshi wa Israel baada ya shambulizi la kuvizia kuwaua 7 huko Gaza
Jun 26, 2025 16:01Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) imeapa kuendelea kuwashambulia wanajeshi wa utawala wa Kizayuni baada ya shambulizi la kuvizia lilitotekelezwa na wanamuwawama wa harakati hiyo na kuangamiza wanajeshi saba kusini mwa Ukanda wa Gaza.
-
Walowezi 1000 wa Kizayuni wavamia Msikiti wa Al-Aqsa huku wakilindwa na wanajeshi wa Israel
Apr 16, 2025 02:21Katika siku ya tatu ya sikukuu ya pasaka ya Kiyahudi, walowezi elfu moja wa Kizayuni, huku wakisindikizwa na kupewa ulinzi na wanajeshi la utawala wa Kizayuni wa Israel wamevamia eneo la Msikiti mtukufu wa Al-Aqsa katika mji wa Baitul-Muqaddas Mashariki unaokaliwa kwa mabavu.
-
Wapalestina wapongeza operesheni ya al-Quds, wasema ni kulipiza kisasi kwa mauaji ya Jenin
Jan 28, 2023 11:50Makundi ya muqawama na mapambano ya ukombozi wa Palestina yamepongeza operesheni ya kulipiza kisasi karibu na sinagogi katika makazi haramu ya walowezi wa Kizayuni kwenye eneo la al- Quds (Jerusalem) Mashariki linalokaliwa kwa mabavu na Israel, na kueleza kuwa oparesheni hiyo ni 'jibu la moja kwa moja' kwa uvamizi mbaya zaidi wa kijeshi wa Israel katika Ukingo wa Magharibi
-
UN: Kufukuzwa Wapalestina eneo la Masafer Yatta ni jinai ya kivita
Jul 08, 2022 08:11Ofisi ya Umoja wa Mataifa ya Kuratibu Masuala ya Kibinadamu (OCHA) imetangaza kuwa kufukuzwa kwa Wapalestina kutoka eneo la Masafer Yatta, kusini mwa Ukingo wa Magharibi, kunaweza kuwa sawa na kuwalazimika kuyahama makazi yao, jambo ambalo ni ukiukaji mkubwa wa Mkataba wa Nne wa Geneva na hivyo kuzingatiwa kuwa ni uhalifu wa kivita.
-
Familia ya Shireen yakosoa ripoti ya Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Marekani
Jul 06, 2022 02:37Watu wa familia ya Shireen Abu Akleh, mwandishi habari Mpalestina ambaye aliuliwa shahidi kwa kupigwa risasi na wanajeshi wa utawala wa Kizayuni wa Israel akiripoti matukio yaliyokuwa yakijiri katika mji wa Jenin, wamokosoa vikali ripoti iliyotolewa na Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Marekani kuhusu mauaji hayo.
-
Palestina yataka jamii ya kimataifa izuie ugaidi wa Israel
Dec 18, 2021 12:49Wizara ya Mambo ya Nje ya Mamlaka ya Ndani ya Palestina imetoa wito kwa jamii ya kimataifa kuchukua hatua za dharura za kuushinikiza utawala wa Kizayuni wa Israel usitishe vitendo vya kigaidi vinavyotekelezwa na walowezi wa Kizayuni dhidi ya Wapalestina.
-
Maradhi ya kisaikolojia yaongezeka kati ya Wazayuni kutokana na ngoma ya vita ya Netanyahu
May 09, 2019 04:27Kanali ya 12 ya utawala Kizayuni wa Israel imekiri kwamba kutokana na vita vya hivi karibuni, maradhi ya kisaikolojia na kiroho yameongezeka kati ya walowezi wa Kizayuni na kwamba sasa wanatibiwa kwa njia ya mazungumzo ya video.