-
Israel yatangaza hali ya hatari, nao muqawama wa Palestina wasema wataingia vitani kuisaidia Syria
May 10, 2018 07:07Jeshi la Israel limetangaza hali ya hatari katika ardhi za Palestina unazozikalia kwa mabavu kufuatia jibu kali la mashambulizi ya jeshi la Syria lililoyalenga maeneo muhimu yakiwemo maeneo ya kijeshi ya utawala huo.
-
Walowezi wa Kizayuni wauhujumu na kuuvunjia heshima Msikiti wa Al Aqsa
Apr 02, 2018 07:42Mamia ya walowezi wa Kizayuni, wakiwa wanalindwa na askari wa utawala haramu wa Israel, wameuhujumu na kuuvunjia heshima Msikiti wa Al Aqsa kwa kupitia lango la al-Maghareba.
-
Tawi la Kijeshi la Hamas lauonya utawala wa Israel kuhusu jinai dhidi ya Wapalestina
Dec 30, 2017 14:55Brigedi ya Izz ad-Din al-Qassam, Tawi la kijeshi la Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina, Hamas, imetoa onyo kali kwa utawala wa Kizayuni wa Israel kuwa, ukiendeleza jinai zake dhidi ya Wapalestina, vitongoji vya walowezi wa Kizayuni vitashambuliwa.
-
Mayahudi wa Orthodox waliokataa kujiunga na jeshi wapambana na askari wa Israel katika mji wa Quds
Sep 18, 2017 07:57Hatua ya mahkama kuu ya utawala haramu wa Kizayuni wa Israel kufuta msamaha uliokuwa unawaruhusu Mayahudi wa Orthodox kutohudumu jeshini, imelifanya kundi moja la Mayahudi hao kufanya maandamano na kuanza kupambana vikali na askari wa Israel katika mji wa Quds unaokaliwa na utawala huo khabithi.
-
Ripoti: Wanajeshi wa Israel wameua watoto elfu 3 wa Kipalestina
Jun 01, 2017 14:25Wizara ya Habari ya Palestina imesema, watoto zaidi ya elfu tatu wa Kipalestina wameuliwa shahidi na jeshi katili la Israel tangu ilipoanza Intifadha ya Pili mwezi Septemba 2000.
-
Wazayuni wawateka nyara Wapalestina katika Ukingo wa Magharibi
Apr 29, 2017 15:30Wanajeshi wa utawala wa Kizayuni wameyavamia maeneo tofauti ya Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan na kuwateka nyara Wapalestina kadhaa.
-
Askari watano wa Kizayuni watiwa mbaroni kwa kuiba silaha
Aug 14, 2016 03:04Askari kadhaa wa utawala haramu wa Israel wametiwa mbaroni kwa tuhuma za kuiba silaha huko katika ardhi hizo za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu.
-
Wazayuni waendelea kuwatia mbaroni raia wa Palestina
Jul 17, 2016 07:54Wanajeshi wa utawala wa Kizayuni wa Israel wameyashambulia maeneo mbalimbali ya Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan na Quds inayokaliwa kwa mabavu na kisha kuwatia mbaroni raia kadhaa wa Kipalestina.
-
Wazayuni washambulia Wapalestina Ghaza, Ukingo wa Magharibi
May 14, 2016 14:25Wanajeshi katili wa utawala wa Kizayuni kwa kushirikiana walowezi wa Kizayuni wenye chuki za kidini na kitaifa, wamefanya mashambulizi katika maeneo tofauti ya Ukanda wa Ghaza na Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan dhidi ya Wapalestina.