Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Wapalestina

  • Upinzani mkali wa Marekani dhidi ya juhudi za kusitisha vita Ghaza

    Upinzani mkali wa Marekani dhidi ya juhudi za kusitisha vita Ghaza

    Oct 24, 2023 06:33

    Marekani ikiwa ni mshirika wa kistratijia wa utawala wa Kizayuni si tu kwamba inatoa misaada ya kila aina ya silaha na fedha kwa ajili ya kuushambuliwa Ukanda wa Ghaza, bali pia inapinga vikali usitishwaji vita katika uvamizi huo wa umwagaji damu kwa visingizio vya uongo na visivyo na msingi.

  • Vipimo viwili tofauti vya Ulaya kuhusu uhuru wa kujieleza; vitisho na adhabu kwa waungaji mkono wa Palestina

    Vipimo viwili tofauti vya Ulaya kuhusu uhuru wa kujieleza; vitisho na adhabu kwa waungaji mkono wa Palestina

    Oct 21, 2023 23:07

    Matukio ya hivi karibuni huko Palestina inayokaliwa kwa mabavu na Israel hasa baada ya mashambulizi ya Kimbunga cha Al-Aqsa na jibu la kinyama la utawala wa Kizayuni, hasa mashambulizi ya kikatili ya utawala huo dhidi ya wanawake na watoto wa Ukanda wa Ghaza, yameibua radiamali kali ya jamii ya kimataifa dhidi ya utawala huo.

  • Kikao kisichokuwa na natija cha Baraza la Usalama: Marekani yapinga usitishaji mapigano Gaza

    Kikao kisichokuwa na natija cha Baraza la Usalama: Marekani yapinga usitishaji mapigano Gaza

    Oct 19, 2023 07:20

    Jumatano, Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa lilikataa tena azimio la kusitisha mapigano huko Gaza kufuatia upinzani wa Marekani. Marekani ilipinga azimio lililopendekezwa kwa Baraza la Usalama na Brazil, lililotaka kusitishwa mapigano ili kufikishwa misaada ya kibinadamu Ghaza.

  • Jitihada za Magharibi za kuzuia kuakisiwa habari za Wapalestina katika mitandao ya kijamii na vyombo vya habari

    Jitihada za Magharibi za kuzuia kuakisiwa habari za Wapalestina katika mitandao ya kijamii na vyombo vya habari

    Oct 14, 2023 22:53

    Baada ya kuanza oparesheni kwa jina la "Kimbunga cha Al Aqsa" iliyotekelezwa na Hamas na makundi mengine ya mapambano ya Palestina; serikali na vyombo vya habari vya Magharibi kwa upande mmoja vimeanzisha propaganda kubwa ili kuzuia kuakisiwa habari na matukio yanayojiri huko Palestina inayokaliwa kwa mabavu huku vikichapisha na kutoa habari za uwongo ili kuonyesha taswira isiyo ya kibinadamu kuhusu wanamapambano wa Palestina.

  • Msimamo tofauti wa Russia na China kuhusu operesheni ya Kimbunga cha al-Aqswa

    Msimamo tofauti wa Russia na China kuhusu operesheni ya Kimbunga cha al-Aqswa

    Oct 11, 2023 23:01

    Licha ya uungaji mkono kamili wa Marekani na washirika wake wa magharibi kwa utawala wa Kizayuni wa Israel baada ya operesheni ya Kimbunga ya al-Aqswa na hata Washington kutuma misaada ya kijeshi na zana za kivita kwa utawala huo ghasibu, lakini Russia na China, yakiwa madola mawili hasimu na washindani wa Magharibi, yamechukua msimamo tofauti katika uwanja huu.

  • Taarifa rasmi ya Baraza la Usalama ya kulaani vitongoji vya walowezi

    Taarifa rasmi ya Baraza la Usalama ya kulaani vitongoji vya walowezi

    Feb 21, 2023 23:02

    Jumatatu ya tarehe 20 Februari Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa lilipasisha rasimu ya azimio linalolaani uamuzi wa serikali ya Israel yenye misimamo ya kufurutu ada ya Benjamin Netanyahu wa kuidhinisha ujenzi wa vitongoji vipya tisa katika ardhi za Wapalestina za Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan.

  • Kukataa utawala wa Kizayuni kushirikiana na Baraza la Haki za Binadamu la UN

    Kukataa utawala wa Kizayuni kushirikiana na Baraza la Haki za Binadamu la UN

    Feb 19, 2022 23:22

    Utawala wa Kizayuni umekataa kushirikiana na Baraza la Haki za Binadamu la Umoja wa Mataifa. Mwakilishi wa Israel katika Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa ametangaza kuwa Tel Aviv haitashirikiana na jopokazi la uchunguzi la baraza hilo kwa ajili ya kuchunguza mashambulizi ya mwezi Mei mwaka jana ya utawala wa Kizayuni huko Ukanda wa Ghaza.

  • Amnesty International: Israel ni utawala wa ubaguzi wa rangi

    Amnesty International: Israel ni utawala wa ubaguzi wa rangi

    Feb 02, 2022 08:00

    Shirika la kutetea haki za binadamu la Amnesty International limeutuhumu utawala wa Kizayuni wa Israel kuwa ni utawala wa baguzi wa rangi wa apartheid. Amnesty Internation inakuwa taasisi ya karibuni zaidi ya kimataifa ya kutetea haki za binadamu kuitangaza Israel kuwa ni utawala wa apartheid.

  • Ripoti ya Umoja wa Mataifa kuhusu jinai za Israel dhidi ya Wapalestina katika ardhi za mwaka 1948

    Ripoti ya Umoja wa Mataifa kuhusu jinai za Israel dhidi ya Wapalestina katika ardhi za mwaka 1948

    Jun 04, 2021 21:58

    Katika ripoti yake mpya, Umoja wa Mataifa umefichua jinai mpya kadhaa zilizofanywa na utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya Wapalestina wanaoishi katika ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu na Israel tangu mwaka 1948.

  • Ripoti ya Kamishna Mkuu wa Haki za Binadamu wa UN kuhusu jinai za Israel katika vita vya Gaza

    Ripoti ya Kamishna Mkuu wa Haki za Binadamu wa UN kuhusu jinai za Israel katika vita vya Gaza

    May 28, 2021 22:32

    Kamishna Mkuu wa Haki za Binadamu wa Umoja wa Mataifa Alkhamisi wiki hii alitoa ripoti yake kuhusu vita vya siku 12 vya Israel na mashambulizi ya kikatili ya utawala huo dhidi ya watu wa Ukanda wa Gaza huko Palestina.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS