-
Daesh, wananyofoa viungo vya mateka na kuvitumia katika miili yao
Feb 29, 2016 09:57Wanachama wa kundi la kigaidi na kitakfiri la Daesh, wamekuwa wakinyofoa viungo vya mateka wanaowashikilia na kuvitumia kwenye miili yao.
-
Waziri wa Saudia atembelea Israel kwa siri kupanga njama dhidi ya Syria
Feb 29, 2016 04:01Saudi Arabia inashirikiana kikamilifu na utawala haramu wa Israel katika njama ya kuomuondoa marakani Rais Bashar al-Asad wa Syria pamoja na kuwepo mapatano ya usitishwaji vita nchini humo.
-
Carter: Kundi la Daesh linakaribia kupata silaha za kemikali
Feb 19, 2016 04:13Waziri wa Ulinzi wa Marekani amesema kuna uwezekano kundi la kigaidi na kitakfiri la Daesh likapata silaha za kemikali.
-
CIA: Kundi la Daesh linatumia silaha za kemikali
Feb 12, 2016 04:40Shirika la Kijasusi la Marekani CIA limesema kuwa kundi la kigaidi na kitakfiri la Daesh linatumia silaha za kemikali katika mashambulizi yake.