• Jumapili, 20 Novemba, 2016

    Jumapili, 20 Novemba, 2016

    Nov 20, 2016 05:59

    Leo ni Jumapili tarehe 20 Swafar 1438 Hijria, sawa na tarehe 20 Novemba mwaka 2016 Miladia.

  • Arubaini, Safari ya Nyoyo za Maashiki (1)

    Arubaini, Safari ya Nyoyo za Maashiki (1)

    Nov 15, 2016 12:16

    Kwa kawaida safari ya kutembea kwa miguu kutoka mji wa Najaf al Ashraf kuelea Karbala inayofanywa kila mwaka na maashiki na wapenzi wa mjukuu wa Mtume (saw), Imam Hussein (as) huambatana na vuguvugu na msisimko wa aina yake. Mwanzoni mwa safari hiyo mazuwari huanza safari hiyo ya mahaba na upendo katika mji wa Najaf wakiwa na shanta dogo, viatu vyepesi na masurufu kiduchu ya kutumia njiani.

  • Arubaini, Mjumbe wa Umoja wa Kiislamu Duniani (4)

    Arubaini, Mjumbe wa Umoja wa Kiislamu Duniani (4)

    Nov 15, 2016 07:13

    Assalaamu Alaykum wasikilizaji wapenzi. Karibuni katika makala hii maalumu tuliyokuandalieni kwa mnasaba wa kumbukumbu ya Arubaini ya Imam Husain AS. Ni mfululizo wa makala maalumu ambazo zinakujieni katika kipindi cha siku hizi kadhaa za kuelekea kwenye kilele cha kumbukumbu hizo zinazofanyika Karbala nchini Iraq ambapo kwa mwaka huu itakuwa ni Jumatatu ya tarehe 21 Novemba kulingana na mwandamo wa mwezi nchini Iraq. Karibuni.

  • Arubaini, Kuenea Utamaduni wa Ashura (2)

    Arubaini, Kuenea Utamaduni wa Ashura (2)

    Nov 14, 2016 07:46

    Assalaamu alaykum wapenzi wasikilizaji na karibuni kujiunga nasi tena katika sehemu nyingine ya mfululizo wa makala hizi zinazokujieni kwa mnasaba wa kumbukumbu ya Arubaini ya Imam Hussein bin Ali bin Abi Twalib as.

  • Alkhamisi, Oktoba 13, 2016

    Alkhamisi, Oktoba 13, 2016

    Oct 13, 2016 02:38

    Leo ni Alkhamisi tarehe 11 Muharram 1438 Hijria sawa na Oktoba 13 2016.

  • Maswali Kuhusu Tukio la Ashura (2)

    Maswali Kuhusu Tukio la Ashura (2)

    Sep 16, 2018 10:27

    Je, tukio la Ashuraa na mauaji ya mjukuu wa Mtume (saw), Imam Hussein bin Ali bin Abi Twalib (as) katika siku ya tarehe 10 Muharram mwaka 61 Hijria lina umuhimu katika utamaduni wa Waislamu wa madhehebu ya Shia peke yao? Au la, madhehebu nyingine za Kiislamu pia kama madhehebu za Ahlusunna, zinajali sana tukio hilo na kuumizwa mno na masaibu ya Hussein bin Ali na dhulma zilizofanywa na madhalimu dhidi ya familia hiyo ya Mtume?