-
Jumapili, 13 Julai, 2025
Jul 13, 2025 02:38Leo ni Jumapili 17 Mfunguo Nne Muharram 1447 Hijria sawa na 13 Julai 2025 Miladia.
-
Ujue Mfumo wa Kisasa wa Iran wa Bavar 373 uliotumika kuzima hujuma ya Israel
Nov 03, 2024 09:41Hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni kujiunga nami katika Makala hii ambayo huangazia baadhi ya matukio muhimu ya sayansi nchini Iran na maeneo mengine duniani. Leo Makala yetu maalumu itaangazia mfumo wa kujihami angani wa Iran ujulikanao kama Bavar 373 ambao uwezo wake mkubwa umewashangaza wengi duniani.
-
Jumatano tarehe 13 Julai 2022
Jul 13, 2022 06:23Leo ni tarehe 13 Dhulhija 1443 Hijria sawa na tarehe 13 Julai 2022.
-
Jumamosi, 13 Julai, 2019
Jul 13, 2019 01:16Leo ni Jumamosi tarehe 10 Mfunguo Pili Dhul-Qaadah 1440 Hijria mwafaka na tarehe 13 Julai 2019.
-
Alkhamisi Julai 13, 2017
Jul 13, 2017 02:38Alkhamisi tarehe 18 Shawwal 1438 Hijria, sawa na Julai 13, 2017.
-
Mfululizo wa vipindi vya 'Ukatili wa Mabudha dhidi ya Waislamu wa Rohingya nchini Myanmar' na Sauti
May 23, 2017 06:54Ni matumaini yangu kuwa hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni kutegea sikio sehemu ya tano ya makala yanayozungumzia jinai na ukatili wa kutisha unaofanywa na Mabudha wenye kuchupa mipaka dhidi ya Waislamu wa kabila la Rohingya nchini Myanmar.
-
Mfululizo wa vipindi vya 'Ukatili wa Mabudha dhidi ya Waislamu wa Rohingya nchini Myanmar' na Sauti
May 06, 2017 14:36Ni matumaini yangu kuwa hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni kutegea sikio sehemu ya nne ya makala yanayozungumzia jinai na ukatili wa kutisha unaofanywa na Mabudha wenye kuchupa mipaka dhidi ya Waislamu wa kabila la Rohingya nchini Myanmar.
-
Jitihada za jeshi la Uganda za kutuliza hali ya mambo Bundibugyo
Mar 27, 2016 10:30Jeshi la polisi nchini Uganda limechukua hatua madhubuti za kurejesha hali ya usalama magharibi mwa nchi hiyo