Jitihada za jeshi la Uganda za kutuliza hali ya mambo Bundibugyo
Mar 27, 2016 10:30 UTC
Jeshi la polisi nchini Uganda limechukua hatua madhubuti za kurejesha hali ya usalama magharibi mwa nchi hiyo
Hatua hiyo imechukuliwa kufuatia kujiri mauaji ya watu kadhaa akiwemo afisa mmoja wa jeshi hilo. Tukio hilo lilijiri katika eneo lililo karibu na mpaka wa Uganda na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.
Ingia kwenye picha hapo juu kusikiliza ripoti ya mwandishi wetu wa Kampala.
Tags