-
Kiongozi wa Mapinduzi: Muqawama wa kukabiliana na ughasibu, dhulma na uistikbari si wa kumalizika
Feb 24, 2025 05:12Ukurasa wa Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu wa lugha ya Kiibrania katika mtandao wa kijamii wa X umeandika, Muqawama wa kukabiliana na ughasibu, dhulma na uistikbari si wa kumalizika; na kwa idhini ya Allah utaendelea hadi ufikie lengo ulilokusudia".
-
Barua ya Kiongozi Muadhamu kwa wanachuo wa Marekani
Jun 01, 2024 10:24Ifuatayo ni barua ya Ayatullah Ali Khamenei, Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu, aliyowaandikia wanachuo wa vyuo vikuu vya Marekani kufuatia utetezi wao wa kijasiri kwa maslahi ya watu wa Palestina.
-
Kiongozi Muadhamu: Suala la maendeleo ya kisayansi na kuvuka mipaka ya elimu halipasi kusahaulika
Jan 20, 2023 17:21Hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni kujiunga nami katika makala hii ambayo huangazia baadhi ya taarifa na mafanikio katika uga wa sayansi, tiba na teknolojia nchini Iran na maeneo mengine duniani. Ni matumaini yangu kuwa mtaweza kunufaika.
-
Imam Khomeini, Kiongozi Kipenzi
Feb 01, 2021 05:48Assalaamu Alaykum wasikilizaji wapenzi popote pale mlipo. Karibuni katika mfululizo huu wa vipindi maalumu vinavyokujieni kwa mnasaba wa kumbukumbu ya Alfajiri Kumi kuelekea kilele cha maadhimisho ya ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya nchini Iran.
-
Hotuba ya Kiongozi Muadhamu kwa mnasaba na Siku ya Kimataifa ya Quds
May 23, 2020 10:30Ayatullah Khamenei, Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu leo (Ijumaa) katika hotuba yake kwa mnasaba wa Siku ya Kimataifa ya Quds amezungumzia suala la kuanza awamu mpya ya mapambano ya Palestina baada ya ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu na kudhihiri mrengo wa muqawama sambamba kubadilika mlingano wa nguvu kwa maslahi ya wanamapambano na ametoa miongozo saba muhimu kuhusu jinsi ya kuendeleza Jihadi kubwa na takatifu ya sasa.
-
Ujumbe wa Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu kwa Mahujaji: Muamala wa Karne utasambaratika kwa hima na imani ya mrengo wa muqawama.
Aug 10, 2019 11:37Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Sayyid Ali Khamenei ametoa wito kwa mataifa ya Waislamu kuungana kukabiliana na njama za maadui huku akikisitiza kuwa 'Muamala wa Karne' kuhusu kadhia ya Palestina utafeli kwa hima na imani ya mrengo wa muqawama.
-
Jumatatu 4 Septemba, 2017
Sep 04, 2017 04:19Leo ni Jumatatu tarehe 13 Mfunguo Pili Dhilhija 1437 Hijria sawa na tarehe 4 Septemba 2017