• Akhlaqi Katika Uislamu (55)

    Akhlaqi Katika Uislamu (55)

    Apr 11, 2023 07:10

    Amani ya Allah, rehma na baraka zake ziwe juu yako mpendwa msikilizaji popote pale ulipo wakati huu. Nakukaribisha kusikiliza sehemu ya 55 ya kipindi cha Akhlaqi Katika Uislamu nikiwa na matumaini kuwa, mimi pamoja na wewe tutanufaika na yale tutakayoyasikia katika kipindi hiki ambacho kwa leo kitazungumzia nukta nyingine muhimu za Akhlaqi za Jihadi za dini tukufu ya Uislamu. Endelea kuwa nami basi hadi tamati ya mazungumzo yetu.

  • Kumbukizi ya kuuawa shahidi Imam Muhammad Baqir (as)

    Kumbukizi ya kuuawa shahidi Imam Muhammad Baqir (as)

    Jul 18, 2021 05:31

    Assalaamu Alaykum Warahmatullahi Wabarakaatuh. Ni matumaini yangu kuwa, hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni kutegea sikio kipindi hiki maalum kinachokujieni kwa mnasaba wa kukumbuka siku aliyouawa shahidi Imam Muhammad Baqir AS mmoja wa Maimamu watoharifu kutoka katika kizazi cha Bwana Mtume SAW.

  • Kuuawa shahidi Imam Hassan Askari (as)

    Kuuawa shahidi Imam Hassan Askari (as)

    Nov 04, 2019 10:01

    Imam Hassan Askari (as) aliuawa shahidi mwaka 260 Hijiria sawa na mwaka 873 Miladia kutokana na njama iliyofanywa katika siku kama hizi na mmoja wa watawala dhalimu wa Bani Abbas.

  • Harakati ya Mapambano ya Imam Hussein, Makutano ya Akili na Kuashiki

    Harakati ya Mapambano ya Imam Hussein, Makutano ya Akili na Kuashiki

    Nov 07, 2017 11:55

    Harakati ya mapambano ya Imam Hussein bin Ali bin Abi Twalib (as) hapo mwaka 61 Hijria dhidi ya dhulma na ufisadi wa Bani Umayya ilijaa hamasa, kujitolea na kusabilia kila kitu kwa ajili ya Mwenyezi Mungu, haki na uadilifu, na kwa sababu hiyo imegusa sana nyoyo za Waislamu na hata wapenda haki na kweli wasio Waislamu na kuzusha vuguvugu na hamasa ya aina yake ndani ya nafsi za wapenzi wa mtukufu huyo.

  • Kulia Katika Maombolezo ya Imam Hussein (AS): Unyenyekevu wa Moyo na Mapenzi ya Nafsi

    Kulia Katika Maombolezo ya Imam Hussein (AS): Unyenyekevu wa Moyo na Mapenzi ya Nafsi

    Oct 02, 2017 02:30

    Assalamu alaykum wapenzi wasikilizaji, warahmatullahi wabarakatuh. Kwa kuwadia mwezi wa Muharram, kwa mara nyengine nyoyo za waliokomboka kifikra duniani zinajielekeza kwa Imam Hussein (as) huku macho yao yakibubujikwa na machozi kwa kulikumbuka tukio la Karbala. Ni miaka 1372 imepita tangu lilipojiri tukio hilo, lakini unapowadia mwezi wa Muharram kila mwaka, Waislamu huendelea kujumuika pamoja na kushiriki kwenye majlisi za kumuomboleza Hussein Ibn Ali (as) na wafuasi wake.

  • Muharram, Mwezi wa Kujisabilia na Kuuliwa Shahidi

    Muharram, Mwezi wa Kujisabilia na Kuuliwa Shahidi

    Sep 20, 2017 07:48

    Tunaingia katika siku ya kwanza ya mwezi wa Muharram mwaka 1439 Hijria Qamariya.

  • Arubaini Katika Maneno ya Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu (5)

    Arubaini Katika Maneno ya Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu (5)

    Nov 17, 2016 10:13

    Assalamu Alaykum Warahmatullahi Wabarakatuh. Karibuni wapenzi wasikilizaji katika kipindi hiki maalumu kinachokujieni kwa mnasaba wa Arubaini ya Imam Hussein (AS) ambapo leo tutazungumzia kauli na maneno ya Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran Ayatullah Sayyid Ali Khamenei kuhusu tukio hilo adhimu. Endeleeni kuwa nami hadi mwisho wa kipindi kusikiliza niliyokuandalieni.

  • Mafundisho ya Imam Hussein AS (6)

    Mafundisho ya Imam Hussein AS (6)

    Oct 09, 2016 09:07

    Assalamu alaykum warahmatullahi wabarakatuh. Karibuni wapenzi wasikilizaji kuwa nasi tena katika mfululizo mwengine wa kipindi hiki maalumu cha Mafundisho ya Imam Hussein (as) kinachozungumzia falsafa na malengo ya harakati na mapambano ya mtukufu huyo katika Siku ya Ashura katika ardhi ya Karbala. Ni matumaini yangu kuwa mtaendelea kuwa nami hadi mwisho wa kipindi kusikiliza niliyokuandalieni katika mfululizo huu.