-
Alkhamisi, 13 Aprili, 2017
Apr 13, 2017 03:20Leo ni Alkhamisi tarehe 15 Rajab 1438 Hijria, sawa na Aprili 13, 2017.
-
Ijumaa, Oktoba 28, 2016
Oct 28, 2016 04:02Leo ni Ijumaa tarehe 26 Mfunguo Nne Muharram 1438 Hijria sawa na 28 Oktoba, 2016 Milaadia
-
Maafa ya Mina (4)
Sep 05, 2016 08:51Ni Mahujaji wa kiume tu ndio wanaoruihusiwa kuingia kwa masaa machache tu katika makaburi matakatifu ya Baqee. Kusimama na kuomba dua pembeni ya makaburi hayo ni marufuku ma marufuku hiyo ni kali zaidi kwa wale wanaotaka kusimama kando ya makaburi yaliyoharibiwa ya Maimamu Watukufu wa Nyumba ya Mtume (saw) na huandamana na vitisho na hofu kutoka kwa Mawahhabi.