-
Alkhamisi, Julai 7, 2018
Jun 07, 2018 06:11Leo ni Alkhamisi tarehe 22 Ramadhani 1439 Hijria, sawa na tarehe 7 Juni 2018 Miladia.
-
Quds, Kituo cha Dini za Mwenyezi Mungu-2
Dec 26, 2017 16:46Hatua ya Rais Donald Tump wa Marekani ya kuitambua Quds (Baitul Muqaddas au Jerusalem) kuwa ni mji mkuu wa utawala haramu wa Israel kwa mara nyingine imeuweka mji huo mtakatifu kwa dini zote za Mwenyezi Mungu hususan Uislamu katika kurasa za mbele za magazeti na safu ya kwanza ya habari za vyombo vya mawasiliano ya umma kote duniani.
-
Alkhamisi 28 Septemba 2017
Sep 28, 2017 03:08Leo ni Alkhamisi 7 Muharram 1439 Hijria sawa na Septemba 28, 2017.
-
UNESCO yapinga njama za kuiyahudisha Baitul Muqaddas
Nov 09, 2016 11:16Eneo la Baitul Muqaddas (Jerusalem) na Haram tukufu ya Msikiti wa al Aqsa limekuwa likizusha hitilafu na migogoro kwa miaka mingi.