• Maswali Yetu na Majibu ya Thaqalain 116

    Maswali Yetu na Majibu ya Thaqalain 116

    Apr 12, 2016 12:31

    Assalama Aleikum wapenzi wasikilizaji na karibuni kusikiliza kipindi kingine katika mfululizo wa vipindi hivi vya Maswali Yetu na Majibu ya Thaqalain ambavyo hukujieni kupitia Idhaa ya Kiswahili Sauti ya Jamhri ya Kiislamu ya Iran inayokutangazieni kutoka hapa mjini Tehran.

  • Maswali Yetu na Majibu ya Thaqalain 115

    Maswali Yetu na Majibu ya Thaqalain 115

    Apr 10, 2016 12:24

    Assalaam Aleikum wapenzi wasikilizaji na karibuni kusikiliza kipindi cha 115 katika mfululizo wa vipindi hivi vya Maswali Yetu na Majibu ya Thaqaain ambavyo hukujieni kupitia Idhaa ya Kiswahili Sauti ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kutoka hapa mjini Tehran. Katika miezi ya hivi karibuni tumekuwa tukijadili na kujibu maswali ya kiitikadi yanayohusiana na msingi wa Uimamu ambao ni moja ya misingi muhimu ya Uislamu.

  • Maswali Yetu na Majibu ya Thaqalain (114)

    Maswali Yetu na Majibu ya Thaqalain (114)

    Feb 22, 2016 09:44

    Assalaamu Alaykum wapenzi wasikilizaji wa Idhaa ya Kiswaili, Sauti ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran inayokutangazieni moja kwa moja kutoka mjini Tehran. Tuna furaha kukutana tena katika sehemu hii ya 114 ya kipindi hiki cha Maswali Yetu na Majibu ya Thaqalain ambapo leo tutaanza kujadili maswali yanayohusiana na Uimamu baada ya kumaliza kujibu maswali yanayohusiana na Utume kwa ujumla na kadhalika Utume wa Mtume wa Mwisho al- Mustafa (saw).

  • Maswali Yetu na Majibu ya Thaqalain

    Maswali Yetu na Majibu ya Thaqalain

    Feb 03, 2016 09:30

    Assalaamu Alaykum wapenzi wasikilizaji na karibuni kusikiliza mfululizo wa vipindi vipya vya maswali na majibu ambavyo kidogo vitatofautiana na vipindi vya maswali na majibu ambavyo tumekuwa tukivirusha hewani, vipindi ambavyo kimsingi vimekuwa vikitokana na maswali yanayoulizwa na wasikilizaji wetu moja kwa moja.