• Kwa dhambi gani ameuawa?

    Kwa dhambi gani ameuawa?

    Feb 20, 2019 08:44

    Mwaka 61 Hijria koo la mtoto mchanga aliyekuwa na umri wa miezi sita tuu wa mjukuu wa Mtume wetu Muhammad (saw), Imam Hussein bin Ali bin Abi Twalib (as) likatwa kwa mshale wa adui wa Allah na Mtume wake aliyejulikana kwa jina la Harmala katika medani ya Karbala.

  • Maswali Kuhusu Tukio la Ashura (12)

    Maswali Kuhusu Tukio la Ashura (12)

    Oct 27, 2018 11:10

    Haram na makaburi matakatifu ya Mtume Muhammad (saw) na Maimamu maasumu wa nyumba yake tukufu (as) katika kipindi chote cha historia ya Uislamu ya zaidi ya miaka 1400, yamekuwa kimbilio la nyoyo zenye hamu kubwa za waumini na wafuasi wao.

  • Maswali Kuhusu Tukio la Ashura (2)

    Maswali Kuhusu Tukio la Ashura (2)

    Sep 16, 2018 10:27

    Je, tukio la Ashuraa na mauaji ya mjukuu wa Mtume (saw), Imam Hussein bin Ali bin Abi Twalib (as) katika siku ya tarehe 10 Muharram mwaka 61 Hijria lina umuhimu katika utamaduni wa Waislamu wa madhehebu ya Shia peke yao? Au la, madhehebu nyingine za Kiislamu pia kama madhehebu za Ahlusunna, zinajali sana tukio hilo na kuumizwa mno na masaibu ya Hussein bin Ali na dhulma zilizofanywa na madhalimu dhidi ya familia hiyo ya Mtume?

  • Aal Saud; Mzusha Mifarakano na Kizuizi cha Umoja Katika Ulimwengu wa Kiislamu

    Aal Saud; Mzusha Mifarakano na Kizuizi cha Umoja Katika Ulimwengu wa Kiislamu

    Dec 04, 2017 09:53

    Assalamu Alaykum wapenzi wasikilizaji popote pale mlipo. Karibuni kusikiliza kipindi maalumu nilichokuandalieni kwa mnasaba wa maadhimisho ya Wiki ya Umoja wa Kiislamu ambacho maudhui yake inasema: "Aal Saud, mzusha mifarakano na kizuizi cha umoja katika Ulimwengu wa Kiislamu". Endeleeni basi kunitegea sikio kuanzia awali hadi tamati ya kipindi hiki.